Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanataka kutuhatibia tu. Mbona nilishakuelewa ulichonifundishaWewe ni kifaa kimoja wapo. Usitake nianze kumuonea wivu kelvin marcus
Sent using Jamii Forums mobile app
Vigezo vyako vyote nimekidhi niambie wapi nimefeli mpaka nisitangazwe mshindi ..nipe nafasi nikuweke moyoni tuanze safari ya maisha pamoja pujoAhahaha hauwezi kufa bhna.
Kwa kipindi hiki cha Corona nitajitolea Barakoa na Sanitizer kwa wageni wote waalikwa ukumbini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahah kelvin marcus uje umsikie sumbaiWewe ni kifaa kimoja wapo. Usitake nianze kumuonea wivu kelvin marcus
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka kutuhatibia tu. Mbona nilishakuelewa ulichonifundisha
Haaaaah haaaaahKwa kipindi hiki cha Corona nitajitolea Barakoa na Sanitizer kwa wageni wote waalikwa ukumbini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize amekidhi vigezo?We muonee huruma tuu. Hebu mfikirie kwa upole. Najua u umpole saana plus kasura ka kirembo.
Sisi tutasimamia shughuli nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahah hiyo safiiiKwa kipindi hiki cha Corona nitajitolea Barakoa na Sanitizer kwa wageni wote waalikwa ukumbini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanipa hamu ya kuingia pm kuja kuomba kapichaAhahah kelvin marcus uje umsikie sumbai
Ishi wewe u bora, au ndiyo kuchoshana..Poleni na corona. Acha leo na mie nije na vigezo vyangu vya kutafuta mwenza. Baada ya watu wengi kunivutia wakileta mirejesho ahahaha
Sifa ya mwanaume anayehitajika.
1) Awe na kitambi, ila sio cha pombe. (Mnene)
2)Awe na miaka 29/30
3)Jina lake lianzie na herufi E au F
4)Awe amezaliwa August, may, june, July,October
5)Asiwe mkurya, msukuma, muhehe, mluguru, mpogoro, mchaga, Msafwa, mnyakyusa, mrangi wala mnyaturu na mngoni.
6) Awe na ndevu za O
7)Awe na sura yoyote tu
8)Awe mweusi
9)Asiwe dodoma, iringa, Kilimanjaro, moshi, mtwara, tabora, singida, mwanza, arusha, Morogoro, Simiyu, tanga, mbeya, kigoma.
10) Asiwe single father
11)Awe tayari kunipeleka kwake kama anajitegemea
12)Awe tayari kuwa kwenye urafiki miezi 3, alafu ndiyo kuwa mpenzi
13)Awe na sifa ya kushare simu zetu. Yake niishike yangu niishike.
14) Awe ni mwenye kwenda kanisani kila wakati hasa hasa jumapili (RC). Avijue vifungu vyote vya biblia
15)Awe anapenda utani
16) Awe na kazi ya kujitosheleza haswa
17)Ambaye ana uvumilivu ata wa kupata papuchi baada ya mwaka.
18) Awe na damu group O
19) Awe mstaarabu na mpenda maendeleo. Mpole na mwenye kujiheshimu.
20)Asiwe amechangia uzi wa kula tunda
kimasihara wala za kuwaaibisha wanawake. Asiwe na mazoea na mautani na mdada yoyote wa umu.
21) ID yake iwe ni ya miaka mirefu from 2017 kushuka chini. Wewe wa 2018 kwenda mbele upumzike ulale kidogo.
Sifa zangu
Atazipata taratibuuuuu. Ila ni mschana mbichiiii
Uje kama una izo sifa na haijapungua ata moja.
Ahahahahaha nashangaa watu sifa zao za mtu kuwa na kazi tu pamoja na umri. Hivi ndio vigezo sasa. (Nitaleta mrejesho ili watu muendelee kupata moyo wa kutafuta wenza kupitia jukwaa ili. Kama mimi nilivyopewa moyo na watu mbali mbali......
Kwaajili ya ofa yako nimeifungua, na niko tayari kuweka namba yangu ya simu hapa hadharani.Pm imefungwa tatizo
Hahah unanivunjia heshima chief....mimi nipo hapa kwa maslahi mapana ya ndugu kelvin marcus
Kuna kigezo hujakidh tatizo ahahaVigezo vyako vyote nimekidhi niambie wapi nimefeli mpaka nisitangazwe mshindi ..nipe nafasi nikuweke moyoni tuanze safari ya maisha pamoja pujo
Sent using Jamii Forums mobile app