Mwenza bora anahitajika

Mwenza bora anahitajika

Poleni na corona. Acha leo na mie nije na vigezo vyangu vya kutafuta mwenza. Baada ya watu wengi kunivutia wakileta mirejesho ahahaha

Sifa ya mwanaume anayehitajika.
1) Awe na kitambi, ila sio cha pombe. (Mnene)
2)Awe na miaka 29/30
3)Jina lake lianzie na herufi E au F
4)Awe amezaliwa August, may, june, July,October
5)Asiwe mkurya, msukuma, muhehe, mluguru, mpogoro, mchaga, Msafwa, mnyakyusa, mrangi wala mnyaturu na mngoni.
6) Awe na ndevu za O
7)Awe na sura yoyote tu
8)Awe mweusi
9)Asiwe dodoma, iringa, Kilimanjaro, moshi, mtwara, tabora, singida, mwanza, arusha, Morogoro, Simiyu, tanga, mbeya, kigoma.
10) Asiwe single father
11)Awe tayari kunipeleka kwake kama anajitegemea
12)Awe tayari kuwa kwenye urafiki miezi 3, alafu ndiyo kuwa mpenzi
13)Awe na sifa ya kushare simu zetu. Yake niishike yangu niishike.
14) Awe ni mwenye kwenda kanisani kila wakati hasa hasa jumapili (RC). Avijue vifungu vyote vya biblia
15)Awe anapenda utani
16) Awe na kazi ya kujitosheleza haswa
17)Ambaye ana uvumilivu ata wa kupata papuchi baada ya mwaka.
18) Awe na damu group O
19) Awe mstaarabu na mpenda maendeleo. Mpole na mwenye kujiheshimu.
20)Asiwe amechangia uzi wa kula tunda
kimasihara wala za kuwaaibisha wanawake. Asiwe na mazoea na mautani na mdada yoyote wa umu.
21) ID yake iwe ni ya miaka mirefu from 2017 kushuka chini. Wewe wa 2018 kwenda mbele upumzike ulale kidogo.

Sifa zangu
Atazipata taratibuuuuu. Ila ni mschana mbichiiii
Uje kama una izo sifa na haijapungua ata moja.


Ahahahahaha nashangaa watu sifa zao za mtu kuwa na kazi tu pamoja na umri. Hivi ndio vigezo sasa. (Nitaleta mrejesho ili watu muendelee kupata moyo wa kutafuta wenza kupitia jukwaa ili. Kama mimi nilivyopewa moyo na watu mbali mbali......
Umesahau kigezo cha kupimwa mkojo
 
Kwaajili ya ofa yako nimeifungua, na niko tayari kuweka namba yangu ya simu hapa hadharani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui mmekubaliana nini na huyo jamaa, ila niko tayari kuingia ulingoni na yoyote aliyepanda dau juu ya ofa yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pambania mkuu mwenye kisu kikali atakula nyama

Sent using Jamii Forums mobile app
Dadek dah....! Hapa mambo yamepamba moto.

kelvin marcus kazaana mkuu ndio kwanza moshi unafuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Understand yenyewe kiduchu tu, usijue wenda aliye na vitu utakavyo hataki moja ya tabia yako moja ndogo, mfano unaweza kuta mfano unatoa harufu either mdomoni, papuchini au makwapa jifunze kuvumiliana na kustahimiliana.

Tafuta mtu akikubali nawe ukamkubali ndiyo msonge mbele acha tambo, maana kama unaoleka huko mtaani imekuwaje ukadoda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hi hi hi jf bhn mnafurahisha. Uliwahi kuniona au unanifaham?. Au unahs kila mwanamke yupo ivyo?. Usinifundishe nani wa kuish nae na niishi nae vipi. Watu wanaongea mautani apa we unachukukia serious.
 
Hi hi hi jf bhn mnafurahisha. Uliwahi kuniona au unanifaham?. Au unahs kila mwanamke yupo ivyo?. Usinifundishe nani wa kuish nae na niishi nae vipi. Watu wanaongea mautani apa we unachukukia serious.

Narudia tena mara ya nne sio lazima kujibu kila comment..mwaacha aandike anachojisikia usimjibu chochote ukimpa jibu tayari umempa relief.. Pia nchi yetu ni ya demokrasia na hizi ndo gharama za demokrasia
 
Narudia tena mara ya nne sio lazima kujibu kila comment..mwaacha aandike anachojisikia usimjibu chochote ukimpa jibu tayari umempa relief.. Pia nchi yetu ni ya demokrasia na hizi ndo gharama za demokrasia
Kweli kabisa. Ss hv nitaacha moja kwa moja
 
Back
Top Bottom