Mwenza wa Maisha

Mwenza wa Maisha

Mkuu kila kheri,ila kuwa makini kuna mlevi aliniambia mwanamke wa sasa hivi usimuweke moyoni mweke hata mkononi.
 
Tuweke wazi hapa,
Unahitaji mwenye mtoto tu?
Kabila lako?
Umeajiliwa au umejiajili?
Uko tayari kupima afya?
 
[mention]Vi rendra [/mention] akija huko usijibu mkuu tafadhali
IMG_7915.jpg
 
Back
Top Bottom