Mwenza wangu ana wivu na usingizi wangu.

Mwenza wangu ana wivu na usingizi wangu.

Kuna jamaa angu naye yuko ivo,, ila yeye kwenye mpira halali, il mechi ikiisha tu pale mnaangalia replay za goal ye tayari kashaangusha,, kuna mwaka mmoja nilienda kwao, baada ya msosi wa usiku jamaa mazima, mama ake akasema amerithi kwa baba yake,,,

Watu mna rithi vingi
Ila mimi naona la kawaida mkuu...cha kushangaza yeye anachukulia kwa uzito.
 
Back
Top Bottom