Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu kugegedana sipitiwi asilani...shida yangu akianza kunipigisha stori....za alivyokuwa mrembo zaidi wakati namtongoza.
Tehteh....
Hivi wewe unakumbuka ahadi yangu mara ya mwisho kukutana?
Toa mchaga Weka msukuma au mnyaturuKuna cousin yangu huyo tulikwenda club nilimuacha kwenye dance floor kwenda kuchukuwa bia. Narudi namuona kalala kwenye speaker na makelele yote yale aiseee huyu jamaa akipata upepo tu [emoji42][emoji42].
Kabila zako:-
A = Mhindi
B = Muarabu
C = Mchagga
Nangatukaa[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Najua mkuu hasa nyie wazungu mnapenda mbwa saana mkuu wa kizungu.
Usikute kaandika akiwa ndotoni
Siwezi kulala uchi.Kwa raha zaidi usilale na nguo sasa.
Mie huwa naona anazidi kuwa mrembo ila yeye anaona unapungua mkuu.
Oouh...nilijua u mzungu mkuu kama mdogo wangu Black Coffee .Me sio mzungu mkuu
Haya.Basi huwa haulali unaegemea kitanda tu.
Oouh...nilijua u mzungu mkuu kama mdogo wangu Black Coffee .