Na wewe kinukishe!.Ninadem hatujawahi duuuu lkn ananizingua sana hataki tu duuu mpaka mwakani sasa yy anapenda kuniomba hela sana bt awamu hii nikagoma kumpatia kaniandikia ujumbe kwamba """ usiponitumia Leo bc usinipigie cm wala nn"" na mm ckutuma mpaka sasa lkn nampenda so my dear rafiki what can l do?
We ni spair tyr inavyoonekana heb jikaze ucmpigie wiki nzima ka anakupenda kweli atakukol mwenyewe ila ka we ni spair hataki pigia, hlf unatunzaje hlf anakula mwngne?, hb fkrn kabla ya kutenda bn
Kwa nini anaomba pesa??
Madem wa Tz wana tabia mbaya sana ya kuomba2 pesa!
Kwa nini anaomba pesa??
Madem wa Tz wana tabia mbaya sana ya kuomba2 pesa!
Madem wa tz virungu vingi.. Ndo maana nchi ye2 haiendelei.. Yaani demu anakupa na masharti kabisa kama usipotuma mkataba wako umeisha. Dooh!
wewe ni demu wa wapi?
wa kigoma