Mwenzenu kimenuka

Mwenzenu kimenuka

buchi

Member
Joined
Sep 2, 2013
Posts
22
Reaction score
1
Ninadem hatujawahi duuuu lkn ananizingua sana hataki tu duuu mpaka mwakani sasa yy anapenda kuniomba hela sana bt awamu hii nikagoma kumpatia kaniandikia ujumbe kwamba """ usiponitumia Leo bc usinipigie cm wala nn"" na mm ckutuma mpaka sasa lkn nampenda so my dear rafiki what can l do?
 
Unampenda au unataka uvute muda mwakani ifike ????
 
Ninadem hatujawahi duuuu lkn ananizingua sana hataki tu duuu mpaka mwakani sasa yy anapenda kuniomba hela sana bt awamu hii nikagoma kumpatia kaniandikia ujumbe kwamba """ usiponitumia Leo bc usinipigie cm wala nn"" na mm ckutuma mpaka sasa lkn nampenda so my dear rafiki what can l do?
Na wewe kinukishe!.
 
Madem wa tz virungu vingi.. Ndo maana nchi ye2 haiendelei.. Yaani demu anakupa na masharti kabisa kama usipotuma mkataba wako umeisha. Dooh!
 
We ni spair tyr inavyoonekana heb jikaze ucmpigie wiki nzima ka anakupenda kweli atakukol mwenyewe ila ka we ni spair hataki pigia, hlf unatunzaje hlf anakula mwngne?, hb fkrn kabla ya kutenda bn
 
Huyo yupo kimaslahi zaidi shituka ingawa mapenzi hayana ushauri
 
We ni spair tyr inavyoonekana heb jikaze ucmpigie wiki nzima ka anakupenda kweli atakukol mwenyewe ila ka we ni spair hataki pigia, hlf unatunzaje hlf anakula mwngne?, hb fkrn kabla ya kutenda bn

hilo neno
 
Mpaka mwakani kwani aliiazimishia mtu mwingine kwa mkataba kuwa anamrudishia mwakani ndio weye upewe? Piga mahesabu, mwambie na weye utampa hela hiyo mwakani au akuonyeshe tu ka hiyo kitu iko karibu, ili na weye umwoneshe hela yako kwa mbali. Tunaita hiyo ka ni; Kula kwa kunusa tu. Usimpe hela mpaka mwakani muanze tena
 
Huyo analengo la kkuchuna 2 tena inaonekana anachuna kwaku2mia panga co kiwembe ndio maana umexh2ka
 
ha ha ha ha ha ha hahahahahaha .............. mwakani si mbali.
 
Usitumie pesa kulazimisha penzi. Kumbuka hata njiwa Ana mpenzi wake kwenye tundu ingiwa hajui noti wala shilingi
 
Back
Top Bottom