Mwenzenu kimenuka

Mwenzenu kimenuka

Ninadem hatujawahi duuuu lkn ananizingua sana hataki tu duuu mpaka mwakani sasa yy anapenda kuniomba hela sana bt awamu hii nikagoma kumpatia kaniandikia ujumbe kwamba """ usiponitumia Leo bc usinipigie cm wala nn"" na mm ckutuma mpaka sasa lkn nampenda so my dear rafiki what can l do?
Do what you can...
 
hawafai.......

Kakuona boya, mademu wajanja sana akijua anaweza kula hela yako bila kukupa mambo basi hutakaa umguse, ni ahadi tu mpaka uchoke mwenyewe!

Sasa anakwambia eti kama humpi hela usimpigie simu tena! Kwa hiyo mapenzi yenu ni ya simu?
 
huyo hafai, anakutumia kwa faida zake binafsi!
 
Ninadem hatujawahi duuuu lkn ananizingua sana hataki tu duuu mpaka mwakani sasa yy anapenda kuniomba hela sana bt awamu hii nikagoma kumpatia kaniandikia ujumbe kwamba """ usiponitumia Leo bc usinipigie cm wala nn"" na mm ckutuma mpaka sasa lkn nampenda so my dear rafiki what can l do?

Unajua madhara ya ku do kabla ya ndoa? Hivi wakati unamtongoza ulimweleza ukweli kwamba unataka kum do tu na si vinginevyo? Nahisi huna mapenzi ya kweli ya kwake, ndiyo maana akwambia mtafanya mwaka ujao. Kwa fikra zangu ndogo tu; mwache msichana wa watu ajinafasi. Ngono kabla ya ndoa haikubaliki!
 
huyo atakuwa mchaga tu ila ww mpe tu hela kwani bado siku chache kufika mwakani
 
Baadh y dada zetu njaa zinawafanya wanakuw wapuuz sana. Mtu kuwa mpenz wako sio ndio umshushie zigo la kukuhudumia. Mpenz wako sio mzaz wako,mwny jukumu la kukuhudumia ni mzaz wako. Midada mingine inaboa kweli,ovyoooo. Likaushie tu hilo,litakupasua kichwa. Vumilia hata km umelipenda vipi.
 
Nipm namba zake nimtumie mimi. Ukipenda usipopendwa ni balaa mkubwa, nasubiri namba
 
Mapenzi ya dhati yenye kujali utu hayapo kwa mademu wa siku hizi bali msingi wao umejengeka katika material needs ndiyo maana kila kukicha virungu tu!, wanaboa sana
 
Hahah pole bro... Nawewe mwambie msubiri mwakani!!! So simple, Angalia sije ukaja lia tuliokutangulia tushakuonya
 
Ninadem hatujawahi duuuu lkn ananizingua sana hataki tu duuu mpaka mwakani sasa yy anapenda kuniomba hela sana bt awamu hii nikagoma kumpatia kaniandikia ujumbe kwamba """ usiponitumia Leo bc usinipigie cm wala nn"" na mm ckutuma mpaka sasa lkn nampenda so my dear rafiki what can l do?
Uzinzi tu huo, tafuta mke muoe, achana na machangu doa
 
Mapenzi gani ya kuchunana tu?Huyo hakupendi bora umuache uanze maisha yako mapya na mwaka mpya
 
Back
Top Bottom