ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
mgaagaa na upwa hali wali mkavu,jipe moyo na endelea kujiambia "one day yes".
Btw ikishindikana kabisa nitafute nikupe mchongo.
yaani wwe acha tu best inanitoa roho ile mbaya
namwomba mwenyezi anisaidie ili niweze kuipata
kabla sijatwaliwa ila umekosea kumtaja huyo huyo
huyo no3 angalia usijeleta balaa mjengoni hapa
Aombaye hupewa...asante sana maif wa ukweli yaani najua ipo siku tu nitadrive
Kwani yeye n-nani?
Cousin usihofu,,,, weka nia na ndoto yako itatimia!!!!!!!!
njoo kwangu utayapa hayo makitu kiulaiiini!!
njoo nikuonyeshe njia rahisi ya kufikia kwa wepesi,kwa sasa namiliki punda wa mizigo 100nitaitafuta kwa nguvu na uwezo wangu mwenyewe na sio kwako
mma po ngafu lelo umefikisha indumi au? nashukuru sana
njoo nikuonyeshe njia rahisi ya kufikia kwa wepesi,kwa sasa namiliki punda wa mizigo 100
Cousin usihofu,,,, weka nia na ndoto yako itatimia!!!!!!!!