Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
Hata mai hazband wako hutaki nimtaje!??
hahaa mkuu Dr.zero na mimi ladyfurahia amenishangaza au wameachana na huyu Mentor maana huenda kawa mental kweli
Last edited by a moderator:
Hata mai hazband wako hutaki nimtaje!??
ndo ya kisasa zaidi kwani wewe hujawahi kuliona hilo gari?
sina tabia hiyo ya kudandia vigari toka kwa wanaume
waangamivu, na vilevile sihitaji pesa zao
mie natafuta kwa jasho langu natumaini nitalipata
kwani baba mkubwa watu8
ananiwekea hela ili ifikapo december niwe nalo
usinifundishe tabia mbaya kama hiyo.
NB: USIFIKIRI KILA AONAYE, ASIKIAYE
AU ATAJWAYE NI MALAYA ONDOA
DHANA HIYO KWA WANAWAKE TANMO
ndio habari ya mujini hiyoo!!!!!!"ukiona ndoto zako hazijatimia endelea kulala!" - Mndengereko