Mwenzenu Kinachonitoa roho ni hiki hapa

jamani nani mwenye namba ya kova?
unajisahaulisha eee ? umesahau kuwa wewe ndio ulie nilisisha mikoba yako? zamani nilipokuwa punda wako mbona hukuomba namba ya kova? we mzee vp
 

Copy: Mentor .."Inside the Verrosa" that's where we lost a sister
 
Last edited by a moderator:
kaka badilisha huu msemo wako pls pls pls
ukiangalia kiundani sijamention mtu yeyote hapa
hivyo pls usimention mtu hapa

Nimempa copy tu Mentor kwa kuwa kuna wakati alileta Thread hapa kuhusu Verrosa , that's why nimemkopi, No offence..
 
Last edited by a moderator:

Lazima uanze na step one. Hiyo vitz unaiuza kiasi gani?
Tuanzie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…