Mwenzenu macho yananimaliza kabisaaa....

Mwenzenu macho yananimaliza kabisaaa....

ok... nimekusoma... "nyau" to be specific..

so ikiwa watermelon wewe ndo huambiwi kitu..... kweli kila mtu na anachopenda...
Ile design kila baada ya round lazima shuka ibadilshwe. Ni balaaa...
 
Bibie akiwa na utege kama beckham mie twaaabani
 
Back
Top Bottom