Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Imefika wakati nawaza labda tulizaliwa mapacha.
Kipindi niko mdogo shule ya msingi jioni nkiwa na wenzangu nyumbani tunachota maji binti mmoja wa rika langu akanisogelea akaniuliza habari yako...baada ya salamu akaniuliza umeshawahi kuishi Moshi? Jibu likawa hapana,bado akawa anasisitiza nimewahi kukuona moshi wewe..
Tukio la pili nkiwa form three nyumbani wakapita kundi la wanaume mmoja kasimama ananiita baada ya salamu ananiuliza umewahi kuishi mwanza. Nlivojibu hapana akaweka mkazo kabisa ni wewe mbona nakufahamu
Mara ya tatu nkiwa chuo ndo kwanza nayatafuta madarasa baada ya registration nimekaa kwenye kimbweta binti wa kimbweta cha pembeni akanisogelea ananiuliza mambo umewahi kuishi Moshi kilimanjaro? Mbona kama nakufahamu
Baada ya kumjibu Hapana kaenda zake
Miezi michache ilopita nkiwa hospital kuna mbaba ananiangalia wee.. Akaamua kunisogelea "we mbona kama nakufahamu.. Hunifahamu mimi?? Kweli hunijui?
Nawaza hivi na huu mpua kuna mtu anafanana nami
Pia nina unique marks kama beauty marks(kidoti) na vidimpoz sasa vilyokaa usoni kwangu ni nadra sana kukuta mtu sare na mimi..hata shuleni kote hadi chuo sijaona alie kama mimi kwa position ya hizo alama.
Hao watu hawakuja as if kibahati mbaya.. Nyuso zao zinakiri ni wewe bila shaka na msisitizo juu.
Sadly sikuuliza jina la huyo mtu wanaenifanisha nae[emoji22][emoji22][emoji47]