Mwenzenu najuta kumtoa mam'dogo bikra. Nimeoa, ameolewa na baba yangu, lakini bado ananing'an'gania tu. Nifanyeje ili nimuepuke?

Mwenzenu najuta kumtoa mam'dogo bikra. Nimeoa, ameolewa na baba yangu, lakini bado ananing'an'gania tu. Nifanyeje ili nimuepuke?

Hata sikumbuki mkuu.Ngoja nimalizie hii Castle Milk nianze kupita kila baa wanikumbushe kama niliandika hiyo komenti nikiwa kwao au si kwao?
NB;Soma kichwa cha habari cha uzi halafu urudi kwenye komenti yangu ujiridhishe nani amelewa kati yangu na wewe.
Ok mkuu 😂
 
Ushauri wako sio mbaya Sana, ila kuna sababu zinanifanya nisiufuate.

Kwanza bam'dogo akigundua, itakuwa balaa kubwa kwenye familia. Lkn pia itaweza kunivunjia na mimi ndoa yangu niliyonayo sasa hivi. Ndomaana naamua nimuepuke ili hayo niliyoandika hapo juu yasije kunitokea.
Una kazi ya ziada kuepuka vishawishi mkuu
 
Una kazi ya ziada kuepuka vishawishi mkuu
Kibaya zaidi ashakuwa mtu wa familia, hivyo kumkwepa kabisa ni ngumu maana ni lazima kuna siku tutakutana kwenye mazingira yoyote ya kifamilia, hivyo kujikuta anashindwa kunisahau kabisa.
 
Bora wewe kaolewa na baba yako mdogo.
Kuna mtu x wake aliolewa na baba yake mzazi.
Ubaya zaidi wadogo zake wa kiume huyo jamaa watano(5) hivi wanajua hiyo siri.
Duh hilo balaa aisee.

Sasa dingi wao ashajua kama mwanae alikuwa anamkaza mkewe au bado?
 
Back
Top Bottom