Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #141
Ok mkuu 😂Hata sikumbuki mkuu.Ngoja nimalizie hii Castle Milk nianze kupita kila baa wanikumbushe kama niliandika hiyo komenti nikiwa kwao au si kwao?
NB;Soma kichwa cha habari cha uzi halafu urudi kwenye komenti yangu ujiridhishe nani amelewa kati yangu na wewe.