fidelis zul zorander
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 685
- 176
Inawezekana kabisa.
Ukute alimpiga mwanamke chini tena ndo atajiongezea mawazo hadi mwili udhoofu.
Wataalamu wa kiswahili ndipo alipo mungu?
Kuna tabu gani kutibiwa kwa mganga wa kienyeji, kwako lazima ziwe nguvu za giza kwa kuwa hujui tiba inafanyikaje na ni kazi ya kitaalamu. Kuhusu albino kukatwa miguu huwezi kulaumu wahandisi wa barabara kuwa wanasababisha ajali.Sasa kwa kuwa wewe yalikukuta na ukatibiwa huko ndio uje useme kuwa mungu kakusaidia? au unataka kuleta kufuru tu? wewe ulienda huko na unaweza kumshauri aende au asiende lakini msaada wa huko mungu hausiki, ni nguvu za giza tu, na ndio hao hao wanaosababisha albino wanakatwa mikono na miguu.
Nashukuru kwa ushauri wako wa wazi, sema neno 'wataalamu wa Kiswahili' lina ukakasi. Mweleze kwa uwazi kuwa aende kwa mganga wa kienyeji na Mungu atamfanyia wepesi pasi na shaka!ngoshwe
Ndugu yangu usupoteze muda huko mahospitali, yashanikuta hayo
Nenda kwa watalaam wa kiswahili aisee mungu atakufanyia wepesi.pole sana
Kufanya maombi ni kamari na kupoteza muda. Maombi yangekuwa na msaada hao waombaji wangetembelea mahospitali, hasa kwa kuwa ni kazi ya Mungu.Mh pole sana mkuu, hapo inawezekana hata mambo ya 'kiswahili' yanahusika, hebu kama ww ni mkiristo nenda kafanyiwe maombi kanisani!
Aisee uzi huu umenisikitisha ila wewe umenifanya nicheke
ngoshwe
mkuu kama vipimo vyote ni negative na bado unaumwa basii utakua unastress zina kusumbua na zimekusababishia condition inaitwa psychosomatic disoder, ni jinsi ubongo unaposhindwa kukabiliana na stress za mda mrefu kwahio inaamishia kwenye viungo...yaani unasikia kama unaumwa lakini ukipima majibu ni negative.
ushauri wangu ni kwamba nenda kawaone wataalamu wa akili, njoo hapa muhimbili kuna department ya psychitry watakusaidia
hayo ni mapepo/ majini yamekuingia, na wewe ndie chanzo ama kwa tabia zako au kuna mtu amekutupia. cha kufanya amini kwamba yesu anaweza kila jambo hakuna gumu la kumshinda kata shauri mpokee bwana yesu, amini anaweza kukuponya na hiyo hali na nyinginezo kisha tafuta kanisa lenye nguvu ya mungu (sio kila kanisa wana nguvu ya mungu) nenda uombewe na ujifunze kujiombea mwenyewe.
Pole sana, hakikisha unakua karibu na Muumba wako. amini kwamba yote kwake yanawezekana.
tatizo lako si kubwa. bado una vodonda vya tumbo na hujagundua. epuka vyakula hatarishi nawe utakuwa salama, japo hutapona vidonda