Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah aseeehWanawake tuko so dramatic. And ninavyozidi kujifunza wanaume hawapendi drama kabisa. Mwanaume anapompata mwanamke akamuweka ndani ni kwa ajili ya kufanya maisha. Anataka amove forward nae towards their goal.
Hapa namsemea mwanaume mwenye akili timamu. So anategemea mke wake ajielewe, anatamani awe mcha Mungu, asiwe mchoyo chumbani despite mgogoro wowote utakaotokea, awe mama mzuri kwa watoto, awe mkwe,wifi,shemeji mzuri yani mambo ni mengi...na kikubwa zaidi utii.
Lakini nature yetu sisi wanawake tunapenda sana kutoa vitu moyoni maana tukibaki navyo vinapalia. Sasa shetani anajua hilo basi katutega sana. Mara nyingi tunabomoa ndoa zetu pale tunapofungua mdomo wetu. Lakini habari njema ni kwamba liko jibu la hii problem. Mwanamke linapotokea jambo afu wewe ndo mlengwa likakuumiza...itafute hekima na busara.
Narudia hakikisha kinywa chako kinatoa maneno ya HEKIMA NA BUSARA tu. Utajifunza wapi..soma biblia, fungua quran..vitabu vya dini vina miongozo. Hakutakuwa na drama ndani. Migogoro inapotokea na ukaropokwa maneno ya hasira au uchungu hutajenga..utabomoa. wanaume hawapendi drama ndugu zangu.
Mi naamini katika hekima hata mwanaume mjinga atajirekebisha. Zaidi we mke wake utasifiwa mpaka ataanza kuona atulie tu asipaparike. Na ndo maana bibi zetu walidumu. Si kwamba babu zetu hawakukosea. Lakini bibi walijua jinsi ya kuhandle. Mdomo ni adui mkubwa kwa mwanamke hasa usipotumika vema.
Mmefikia wapi?Habari za jioni!
Jamani mwenzenu jana nimezinguana na baba watoto, katika purukushani nikamwambia niache nitikise kibiriti, akanijibu subiri. Sijakaa vizuri imeingia sms "Mimi baba Kidogoli nimekuacha Mamy K talaka 1, siyo mke wangu".
Yani hapa nipo nipo sijui nilie, sijui nicheke, nahisi Kisukari si Kisukari, Covid si Covid! Wanazuoni njoni mnishauri hiyo si talaka tayari? Hivi kweli mkeo unayempenda akikwambia niache unamwambia hivyo, kuna mapenzi hapo?
Nipeni ushauri maana kesho anarudi nyumbani najua ataanza kunibembeleza na kunambia hakuwa anamaanisha. Kuna mapenzi hapa?
NAKAZIA HAPA.Mmefikia wapi?
Kamrejesho please
Wanawake tuko so dramatic. And ninavyozidi kujifunza wanaume hawapendi drama kabisa. Mwanaume anapompata mwanamke akamuweka ndani ni kwa ajili ya kufanya maisha. Anataka amove forward nae towards their goal.
Hapa namsemea mwanaume mwenyatamani awe mcha Mungu, asiwe mchoyo chumbani despite mgogoro wowote utakaotokea, awe mama mzuri kwa watoto, awe mkwe,wifi,shemeji mzuri yani mambo ni mengi...na kikubwa zaidi utii.
Lakini nature yetu sisi wanawake tunapenda sana kutoa vitu moyoni maana tukibaki navyo vinapalia. Sasa shetani anajua hilo basi katutega sana. Mara nyingi tunabomoa ndoa zetu pale tunapofungua mdomo wetu. Lakini habari njema ni kwamba liko jibu la hii problem. Mwanamke linapotokea jambo afu wewe ndo mlengwa likakuumiza...itafute hekima na busara.
Narudia hakikisha kinywa chako kinatoa maneno ya HEKIMA NA BUSARA tu. Utajifunza wapi..soma biblia, fungua quran..vitabu vya dini vina mio
Talaka ilishapita hiyo.....Mwenyewe natamani iwe kweli, Ila tatizo kashaanza kunibembeleza anasema hajamaanisha....hajaniacha.
Ndo Naomba ushauri jamani hiyo si ni red card kabisa? Mwenyewe nataka kusepa mazima, kanichosha
Yameisha, ndoa inaendelea.Mmefikia wapi?
Kamrejesho please
Hongera kwenu na Kila la kheriYameisha, ndoa inaendelea.
Amin....Ila ndoa haijawahi kuwa rahisi, kuna muda inabidi ujizime data na kusamehe haki zako Ili mambo yaende.Hongera kwenu na Kila la kheri
Upo sahihi mnoAmin....Ila ndoa haijawahi kuwa rahisi, kuna muda inabidi ujizime data na kusamehe haki zako Ili mambo yaende.
Pole sanaHabari za jioni!
Jamani mwenzenu jana nimezinguana na baba watoto, katika purukushani nikamwambia niache nitikise kibiriti, akanijibu subiri. Sijakaa vizuri imeingia sms "Mimi baba Kidogoli nimekuacha Mamy K talaka 1, siyo mke wangu".
Yani hapa nipo nipo sijui nilie, sijui nicheke, nahisi Kisukari si Kisukari, Covid si Covid! Wanazuoni njoni mnishauri hiyo si talaka tayari? Hivi kweli mkeo unayempenda akikwambia niache unamwambia hivyo, kuna mapenzi hapo?
Nipeni ushauri maana kesho anarudi nyumbani najua ataanza kunibembeleza na kunambia hakuwa anamaanisha. Kuna mapenzi hapa?
Amin....Ila ndoa haijawahi kuwa rahisi, kuna muda inabidi ujizime data na kusamehe haki zako Ili mambo yaende.
Kifupi wewe umemchoka mumeo kwakua yawezekana maisha yake hayako stable, na kwa vile wewe una ajira.Uzuri Nina kibarua maisha yatasonga, kuhusu kupambana mwenyewe hainipi shida, kuna kipindi alipata Kazi mkoa mwingine alinipotezea mazima, sikuyumba sikulalamika, akarudi akanikuta.
Tulisolve, ulikuwa utoto tu, sa hivi tunapendana kama tumeoana jana.Kifupi wewe umemchoka mumeo kwakua yawezekana maisha yake hayako stable, na kwa vile wewe una ajira.
Haya ndio huwa mnashauriana wanawake na huko kazini una makundi mabaya ya marafiki.
huoni impact yake kwako financially kias cha kuona kwamba hata usipokua nae haitaleta tofauti (financially) kwenye maisha yako
Basi niwatakie kila la kheri, Mwenyez Mungu awajaalieTulisolve, ulikuwa utoto tu, sa hivi tunapendana kama tumeoana jana.
Amin....Basi niwatakie kila la kheri, Mwenyez Mungu awajaalie
Kuna mmoja mwenzio huku mtaani kapewa talaka ya maandishi na mumewe kagoma kuipokea akakimbilia Kwa shehe aliewafungisha ndoaHabari za jioni!
Jamani mwenzenu jana nimezinguana na baba watoto, katika purukushani nikamwambia niache nitikise kibiriti, akanijibu subiri. Sijakaa vizuri imeingia sms "Mimi baba Kidogoli nimekuacha Mamy K talaka 1, siyo mke wangu".
Yani hapa nipo nipo sijui nilie, sijui nicheke, nahisi Kisukari si Kisukari, Covid si Covid! Wanazuoni njoni mnishauri hiyo si talaka tayari? Hivi kweli mkeo unayempenda akikwambia niache unamwambia hivyo, kuna mapenzi hapo?
Nipeni ushauri maana kesho anarudi nyumbani najua ataanza kunibembeleza na kunambia hakuwa anamaanisha. Kuna mapenzi hapa?
Kumbe una akiliWanawake tuko so dramatic. And ninavyozidi kujifunza wanaume hawapendi drama kabisa. Mwanaume anapompata mwanamke akamuweka ndani ni kwa ajili ya kufanya maisha. Anataka amove forward nae towards their goal.
Hapa namsemea mwanaume mwenye akili timamu. So anategemea mke wake ajielewe, anatamani awe mcha Mungu, asiwe mchoyo chumbani despite mgogoro wowote utakaotokea, awe mama mzuri kwa watoto, awe mkwe,wifi,shemeji mzuri yani mambo ni mengi...na kikubwa zaidi utii.
Lakini nature yetu sisi wanawake tunapenda sana kutoa vitu moyoni maana tukibaki navyo vinapalia. Sasa shetani anajua hilo basi katutega sana. Mara nyingi tunabomoa ndoa zetu pale tunapofungua mdomo wetu. Lakini habari njema ni kwamba liko jibu la hii problem. Mwanamke linapotokea jambo afu wewe ndo mlengwa likakuumiza...itafute hekima na busara.
Narudia hakikisha kinywa chako kinatoa maneno ya HEKIMA NA BUSARA tu. Utajifunza wapi..soma biblia, fungua quran..vitabu vya dini vina miongozo. Hakutakuwa na drama ndani. Migogoro inapotokea na ukaropokwa maneno ya hasira au uchungu hutajenga..utabomoa. wanaume hawapendi drama ndugu zangu.
Mi naamini katika hekima hata mwanaume mjinga atajirekebisha. Zaidi we mke wake utasifiwa mpaka ataanza kuona atulie tu asipaparike. Na ndo maana bibi zetu walidumu. Si kwamba babu zetu hawakukosea. Lakini bibi walijua jinsi ya kuhandle. Mdomo ni adui mkubwa kwa mwanamke hasa usipotumika vema.
GreatNiliongea na mtu recently akanishauri kuwa a woman is the greatest person who benefits katika familia. Na ndo maana kuna dada mmoja aliandika humu kuwa mama ake alimwambia kama kwenye ndoa unakula vizuri basi tulia. Usipaparike at all. Vingine ni vya kupita.
Mwanamke ndie hufaidika. Watoto watasomeshwa vizuri, wewe utakula utalala..wale watoto wanapokuwa mwanamke ndo utafaidika. Mtoto hata siku moja hamsahau mama labda tu kama hajielewi. Lakini mtoto ataenda huko akipata 10, 20 anamrushia mama anywe supu. Na hata akiwa anaenda kusalimia nyumban atabeba kitenge cha mama. Ni wachache huwa wanabeba labda suti, koti, sandal za baba lakin mama ndie benefactor. Sasa mwanamke huoni kuwa ukiwa na hekima ni kwa faida yako na ya kizazi chako baadae. Tatizo tunaruhusu mioyo yetu itupeleke race sana. Kiasi kwamba hatureason hata kidogo. Hii love inatupelekesha sana.
I bet its high time kumpa mwanaume space..uhuru. simaanishi udismind.. namanisha mpe space. Kuna mtu aliandika kuwa kama unataka heshima acha watu huru, utaona wanakosa ile nguvu ya kuringa kwako. Stop seeking happiness in your spouse utakufa unajiona. Chochea furaha ndani yako mwenyewe. Kabla hujakutana nae uliipata wapi furaha??? Watu hupenda vitu adimu. Anapoona unaweza kuwa na furaha bila yeye..atakuheshimu. haya maneno aliandika mwanaume mmoja hukuhuku JF. Give your spouse some space. Acha kuwa snoopy unafatilia simu sijui, unataka jua yuko wapi na nani, wengine mmeajiri mabodaboda kuwafatilia waume zenu..smh. tumejipa kazi ya upelelezi wanawake.
Haisaidii..inatuharibu psychology zetu. At the end. Umechimbua mambo huwezi tena yafukia. Linabaki kovu milele. Karma haikosei address. Kama anafanya jambo baya kwako...yatakuja tu kuvumbuka. Hakuna mtu alie faithful kwa Mungu af Mungu akamuaibisha. The word of God says..hakuna mwenye haki atakayeachwa kamwe.. haki yako itakawia kidogo lakini utaipata. Real happiness inatoka kwa Mola pekee.
Naongea from experience
Nina imani ulishajengewa sanamu lakoWanawake tuko so dramatic. And ninavyozidi kujifunza wanaume hawapendi drama kabisa. Mwanaume anapompata mwanamke akamuweka ndani ni kwa ajili ya kufanya maisha. Anataka amove forward nae towards their goal.