Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Tufauti zetu ni ndogo sana,
Komaa na uliyemzoea usije ukapata mabazazi.

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kakutumia na umesoma hiyo talaka tayarHabari za jioni!
Jamani mwenzenu jana nimezinguana na baba watoto, katika purukushani nikamwambia niache nitikise kibiriti, akanijibu subiri. Sijakaa vizuri imeingia sms "Mimi baba Kidogoli nimekuacha Mamy K talaka 1, siyo mke wangu".
Yani hapa nipo nipo sijui nilie, sijui nicheke, nahisi Kisukari si Kisukari, Covid si Covid! Wanazuoni njoni mnishauri hiyo si talaka tayari? Hivi kweli mkeo unayempenda akikwambia niache unamwambia hivyo, kuna mapenzi hapo?
Nipeni ushauri maana kesho anarudi nyumbani najua ataanza kunibembeleza na kunambia hakuwa anamaanisha. Kuna mapenzi hapa?

Naomba ujue Yani nimetokea kukupenda bure Tu,gud msgNiliongea na mtu recently akanishauri kuwa a woman is the greatest person who benefits katika familia. Na ndo maana kuna dada mmoja aliandika humu kuwa mama ake alimwambia kama kwenye ndoa unakula vizuri basi tulia. Usipaparike at all. Vingine ni vya kupita.
Mwanamke ndie hufaidika. Watoto watasomeshwa vizuri, wewe utakula utalala..wale watoto wanapokuwa mwanamke ndo utafaidika. Mtoto hata siku moja hamsahau mama labda tu kama hajielewi. Lakini mtoto ataenda huko akipata 10, 20 anamrushia mama anywe supu. Na hata akiwa anaenda kusalimia nyumban atabeba kitenge cha mama. Ni wachache huwa wanabeba labda suti, koti, sandal za baba lakin mama ndie benefactor. Sasa mwanamke huoni kuwa ukiwa na hekima ni kwa faida yako na ya kizazi chako baadae. Tatizo tunaruhusu mioyo yetu itupeleke race sana. Kiasi kwamba hatureason hata kidogo. Hii love inatupelekesha sana.
I bet its high time kumpa mwanaume space..uhuru. simaanishi udismind.. namanisha mpe space. Kuna mtu aliandika kuwa kama unataka heshima acha watu huru, utaona wanakosa ile nguvu ya kuringa kwako. Stop seeking happiness in your spouse utakufa unajiona. Chochea furaha ndani yako mwenyewe. Kabla hujakutana nae uliipata wapi furaha??? Watu hupenda vitu adimu. Anapoona unaweza kuwa na furaha bila yeye..atakuheshimu. haya maneno aliandika mwanaume mmoja hukuhuku JF. Give your spouse some space. Acha kuwa snoopy unafatilia simu sijui, unataka jua yuko wapi na nani, wengine mmeajiri mabodaboda kuwafatilia waume zenu..smh. tumejipa kazi ya upelelezi wanawake.
Haisaidii..inatuharibu psychology zetu. At the end. Umechimbua mambo huwezi tena yafukia. Linabaki kovu milele. Karma haikosei address. Kama anafanya jambo baya kwako...yatakuja tu kuvumbuka. Hakuna mtu alie faithful kwa Mungu af Mungu akamuaibisha. The word of God says..hakuna mwenye haki atakayeachwa kamwe.. haki yako itakawia kidogo lakini utaipata. Real happiness inatoka kwa Mola pekee.
Naongea from experience
Eti kauli imetokea kwenye dini inayoruhusu mambo yakuachana kimasihara.. hi sms umeambiwa ametumiwa na mumewake ikiwa na ujumbe wa kuachwa we unasema imetokea kwenye dini,,,Utachukuliwa na usafiri unaofuata maana kauli inaonesha imetokea kwenye dini inayoruhusu mambo ya kuachana kimasihara.
Don't trust a Bro, You'll thank me laterKumbukumbu zaniambia kwamba Criston Cole yuko singo and he can ring you well like a bell
Hiyo ni talaka tayar,huenda hajui Dini vizuriHabari za jioni!
Jamani mwenzenu jana nimezinguana na baba watoto, katika purukushani nikamwambia niache nitikise kibiriti, akanijibu subiri. Sijakaa vizuri imeingia sms "Mimi baba Kidogoli nimekuacha Mamy K talaka 1, siyo mke wangu".
Yani hapa nipo nipo sijui nilie, sijui nicheke, nahisi Kisukari si Kisukari, Covid si Covid! Wanazuoni njoni mnishauri hiyo si talaka tayari? Hivi kweli mkeo unayempenda akikwambia niache unamwambia hivyo, kuna mapenzi hapo?
Nipeni ushauri maana kesho anarudi nyumbani najua ataanza kunibembeleza na kunambia hakuwa anamaanisha. Kuna mapenzi hapa?
Hili povu peleka pale kwako waoshee vyombo.Eti kauli imetokea kwenye dini inayoruhusu mambo yakuachana kimasihara.. hi sms umeambiwa ametumiwa na mumewake ikiwa na ujumbe wa kuachwa we unasema imetokea kwenye dini,,,
Tunasafari ndefu saaana! Kama taifa Lina watu wa aina hii alafu tutegemee maendeleo kweli!?
Ukute huyu nikijana 30-35 yrs ndo ana uwezo huu wakuchanganua mambo.
We fikiria huyu aletewe Yale maswali 100 yasensa atajibu kwa usahihi kwelii!?
Mzee kama we Ni mkuu wakaya umeharibu kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani umekuwa mpweke so umekumbuka kuna jukwaa la kupoteza mawazo.Nami nakushauri kimasihara njo kwangu tufarijiane nami nimeachwa.Habari za jioni!
Jamani mwenzenu jana nimezinguana na baba watoto, katika purukushani nikamwambia niache nitikise kibiriti, akanijibu subiri. Sijakaa vizuri imeingia sms "Mimi baba Kidogoli nimekuacha Mamy K talaka 1, siyo mke wangu".
Yani hapa nipo nipo sijui nilie, sijui nicheke, nahisi Kisukari si Kisukari, Covid si Covid! Wanazuoni njoni mnishauri hiyo si talaka tayari? Hivi kweli mkeo unayempenda akikwambia niache unamwambia hivyo, kuna mapenzi hapo?
Nipeni ushauri maana kesho anarudi nyumbani najua ataanza kunibembeleza na kunambia hakuwa anamaanisha. Kuna mapenzi hapa?
Ww sepa mapemaHabari za jioni!

Nadhani umekuwa mpweke so umekumbuka kuna jukwaa la kupoteza mawazo.Nami nakushauri kimasihara njo kwangu tufarijiane nami nimeachwa.
Na hata hivyo ana huruma Sana, mwanaume mwenye akili timamu anawezaje kuwa na mwanamke Kama wewe?
Kauli yako kuna kashifa ndani yake ila kipi bora kwako dini yangu inayoruhusu mambo ya kuachana kimasihara au dini yako ambayo kila leo Tanzania yetu tunasikia Mauaji kwenye ndoa sababu yake kubwa ni uko kukataa kuachana kimasihara wakati mapenzi kwa mmoja wapo yanakuwa hakuna kwa mwingine...Utachukuliwa na usafiri unaofuata maana kauli inaonesha imetokea kwenye dini inayoruhusu mambo ya kuachana kimasihara.
Hiyo ni kashfa au fact?Kauli yako kuna kashifa ndani yake ila kipi bora kwako dini yangu inayoruhusu mambo ya kuachana kimasihara au dini yako ambayo kila leo Tanzania yetu tunasikia Mauaji kwenye ndoa sababu yake kubwa ni uko kukataa kuachana kimasihara wakati mapenzi kwa mmoja wapo yanakuwa hakuna kwa mwingine...
mimi kwa vile nakupenda mke wang nsingekupa talaka 1 ila nngekupiga vibao alafu nngekupa talaka zote tatuHabari za jioni!