Mwenzenu nimeachwa kweli!

Mwenzenu nimeachwa kweli!

Habari za jioni!

Jamani mwenzenu jana nimezinguana na baba watoto, katika purukushani nikamwambia niache nitikise kibiriti, akanijibu subiri. Sijakaa vizuri imeingia sms "Mimi baba Kidogoli nimekuacha Mamy K talaka 1, siyo mke wangu".

Yani hapa nipo nipo sijui nilie, sijui nicheke, nahisi Kisukari si Kisukari, Covid si Covid!

Wanazuoni njoni mnishauri hiyo si talaka tayari? Hivi kweli mkeo unayempenda akikwambia niache unamwambia hivyo, kuna mapenzi hapo?

Nipeni ushauri maana kesho anarudi nyumbani najua ataanza kunibembeleza na kunambia hakuwa anamaanisha. Kuna mapenzi hapa?

Mimi kuna mmoja alijikasirisha akasema nisimtumie tena sms wala kumpigia sasa hivi wiki ya tatu missed call 215,na mwamba sipokei wala nini!,sms zake zaidi ya 100 za kuomba msamaha sijajibu hata moja,WhatsApp ni mwendo wa blue tiki tu.

Mtoa mada kamwe usikurupuke kumwambia mwanaume niache wengine huwa tunatafuta sana bahati ya kuwa single ikitokea bahati kama hiyo huwa hatufikirii mara mbili [emoji3]
 
Wanawake tuko so dramatic. And ninavyozidi kujifunza wanaume hawapendi drama kabisa. Mwanaume anapompata mwanamke akamuweka ndani ni kwa ajili ya kufanya maisha. Anataka amove forward nae towards their goal.

Hapa namsemea mwanaume mwenye akili timamu. So anategemea mke wake ajielewe, anatamani awe mcha Mungu, asiwe mchoyo chumbani despite mgogoro wowote utakaotokea, awe mama mzuri kwa watoto, awe mkwe,wifi,shemeji mzuri yani mambo ni mengi...na kikubwa zaidi utii.

Lakini nature yetu sisi wanawake tunapenda sana kutoa vitu moyoni maana tukibaki navyo vinapalia. Sasa shetani anajua hilo basi katutega sana. Mara nyingi tunabomoa ndoa zetu pale tunapofungua mdomo wetu. Lakini habari njema ni kwamba liko jibu la hii problem. Mwanamke linapotokea jambo afu wewe ndo mlengwa likakuumiza...itafute hekima na busara.

Narudia hakikisha kinywa chako kinatoa maneno ya HEKIMA NA BUSARA tu. Utajifunza wapi..soma biblia, fungua quran..vitabu vya dini vina miongozo. Hakutakuwa na drama ndani. Migogoro inapotokea na ukaropokwa maneno ya hasira au uchungu hutajenga..utabomoa. wanaume hawapendi drama ndugu zangu.

Mi naamini katika hekima hata mwanaume mjinga atajirekebisha. Zaidi we mke wake utasifiwa mpaka ataanza kuona atulie tu asipaparike. Na ndo maana bibi zetu walidumu. Si kwamba babu zetu hawakukosea. Lakini bibi walijua jinsi ya kuhandle. Mdomo ni adui mkubwa kwa mwanamke hasa usipotumika vema.
 
Kunywa Pepsi big
 
Niliongea na mtu recently akanishauri kuwa a woman is the greatest person who benefits katika familia. Na ndo maana kuna dada mmoja aliandika humu kuwa mama ake alimwambia kama kwenye ndoa unakula vizuri basi tulia. Usipaparike at all. Vingine ni vya kupita.

Mwanamke ndie hufaidika. Watoto watasomeshwa vizuri, wewe utakula utalala..wale watoto wanapokuwa mwanamke ndo utafaidika. Mtoto hata siku moja hamsahau mama labda tu kama hajielewi. Lakini mtoto ataenda huko akipata 10, 20 anamrushia mama anywe supu. Na hata akiwa anaenda kusalimia nyumban atabeba kitenge cha mama. Ni wachache huwa wanabeba labda suti, koti, sandal za baba lakin mama ndie benefactor. Sasa mwanamke huoni kuwa ukiwa na hekima ni kwa faida yako na ya kizazi chako baadae. Tatizo tunaruhusu mioyo yetu itupeleke race sana. Kiasi kwamba hatureason hata kidogo. Hii love inatupelekesha sana.

I bet its high time kumpa mwanaume space..uhuru. simaanishi udismind.. namanisha mpe space. Kuna mtu aliandika kuwa kama unataka heshima acha watu huru, utaona wanakosa ile nguvu ya kuringa kwako. Stop seeking happiness in your spouse utakufa unajiona. Chochea furaha ndani yako mwenyewe. Kabla hujakutana nae uliipata wapi furaha??? Watu hupenda vitu adimu. Anapoona unaweza kuwa na furaha bila yeye..atakuheshimu. haya maneno aliandika mwanaume mmoja hukuhuku JF. Give your spouse some space. Acha kuwa snoopy unafatilia simu sijui, unataka jua yuko wapi na nani, wengine mmeajiri mabodaboda kuwafatilia waume zenu..smh. tumejipa kazi ya upelelezi wanawake.

Haisaidii..inatuharibu psychology zetu. At the end. Umechimbua mambo huwezi tena yafukia. Linabaki kovu milele. Karma haikosei address. Kama anafanya jambo baya kwako...yatakuja tu kuvumbuka. Hakuna mtu alie faithful kwa Mungu af Mungu akamuaibisha. The word of God says..hakuna mwenye haki atakayeachwa kamwe.. haki yako itakawia kidogo lakini utaipata. Real happiness inatoka kwa Mola pekee.

Naongea from experience
 
Simchezo
Niliongea na mtu recently akanishauri kuwa a woman is the greatest person who benefits katika familia. Na ndo maana kuna dada mmoja aliandika humu kuwa mama ake alimwambia kama kwenye ndoa unakula vizuri basi tulia. Usipaparike at all. Vingine ni vya kupita.

Mwanamke ndie hufaidika. Watoto watasomeshwa vizuri, wewe utakula utalala..wale watoto wanapokuwa mwanamke ndo utafaidika. Mtoto hata siku moja hamsahau mama labda tu kama hajielewi. Lakini mtoto ataenda huko akipata 10, 20 anamrushia mama anywe supu. Na hata akiwa anaenda kusalimia nyumban atabeba kitenge cha mama. Ni wachache huwa wanabeba labda suti, koti, sandal za baba lakin mama ndie benefactor. Sasa mwanamke huoni kuwa ukiwa na hekima ni kwa faida yako na ya kizazi chako baadae. Tatizo tunaruhusu mioyo yetu itupeleke race sana. Kiasi kwamba hatureason hata kidogo. Hii love inatupelekesha sana.

I bet its high time kumpa mwanaume space..uhuru. simaanishi udismind.. namanisha mpe space. Kuna mtu aliandika kuwa kama unataka heshima acha watu huru, utaona wanakosa ile nguvu ya kuringa kwako. Stop seeking happiness in your spouse utakufa unajiona. Chochea furaha ndani yako mwenyewe. Kabla hujakutana nae uliipata wapi furaha??? Watu hupenda vitu adimu. Anapoona unaweza kuwa na furaha bila yeye..atakuheshimu. haya maneno aliandika mwanaume mmoja hukuhuku JF. Give your spouse some space. Acha kuwa snoopy unafatilia simu sijui, unataka jua yuko wapi na nani, wengine mmeajiri mabodaboda kuwafatilia waume zenu..smh. tumejipa kazi ya upelelezi wanawake.

Haisaidii..inatuharibu psychology zetu. At the end. Umechimbua mambo huwezi tena yafukia. Linabaki kovu milele. Karma haikosei address. Kama anafanya jambo baya kwako...yatakuja tu kuvumbuka. Hakuna mtu alie faithful kwa Mungu af Mungu akamuaibisha. The word of God says..hakuna mwenye haki atakayeachwa kamwe.. haki yako itakawia kidogo lakini utaipata. Real happiness inatoka kwa Mola pekee.

Naongea from experience
 
Habari za jioni!

Jamani mwenzenu jana nimezinguana na baba watoto, katika purukushani nikamwambia niache nitikise kibiriti, akanijibu subiri. Sijakaa vizuri imeingia sms "Mimi baba Kidogoli nimekuacha Mamy K talaka 1, siyo mke wangu".

Yani hapa nipo nipo sijui nilie, sijui nicheke, nahisi Kisukari si Kisukari, Covid si Covid!

Wanazuoni njoni mnishauri hiyo si talaka tayari? Hivi kweli mkeo unayempenda akikwambia niache unamwambia hivyo, kuna mapenzi hapo?

Nipeni ushauri maana kesho anarudi nyumbani najua ataanza kunibembeleza na kunambia hakuwa anamaanisha. Kuna mapenzi hapa?
Hili jambo ulolileta hapa ni la kidini zaidi m naogopa kulisemea hapa bcz hatujuani ila m nakushauri katafute Sheikh apo karibu umuelezee hali halisi japo m nafahamu kidogo ila naogopa kusema hapa
 
Wanawake tuko so dramatic. And ninavyozidi kujifunza wanaume hawapendi drama kabisa. Mwanaume anapompata mwanamke akamuweka ndani ni kwa ajili ya kufanya maisha. Anataka amove forward nae towards their goal.

Hapa namsemea mwanaume mwenye akili timamu. So anategemea mke wake ajielewe, anatamani awe mcha Mungu, asiwe mchoyo chumbani despite mgogoro wowote utakaotokea, awe mama mzuri kwa watoto, awe mkwe,wifi,shemeji mzuri yani mambo ni mengi...na kikubwa zaidi utii.

Lakini nature yetu sisi wanawake tunapenda sana kutoa vitu moyoni maana tukibaki navyo vinapalia. Sasa shetani anajua hilo basi katutega sana. Mara nyingi tunabomoa ndoa zetu pale tunapofungua mdomo wetu. Lakini habari njema ni kwamba liko jibu la hii problem. Mwanamke linapotokea jambo afu wewe ndo mlengwa likakuumiza...itafute hekima na busara.

Narudia hakikisha kinywa chako kinatoa maneno ya HEKIMA NA BUSARA tu. Utajifunza wapi..soma biblia, fungua quran..vitabu vya dini vina miongozo. Hakutakuwa na drama ndani. Migogoro inapotokea na ukaropokwa maneno ya hasira au uchungu hutajenga..utabomoa. wanaume hawapendi drama ndugu zangu.

Mi naamini katika hekima hata mwanaume mjinga atajirekebisha. Zaidi we mke wake utasifiwa mpaka ataanza kuona atulie tu asipaparike. Na ndo maana bibi zetu walidumu. Si kwamba babu zetu hawakukosea. Lakini bibi walijua jinsi ya kuhandle. Mdomo ni adui mkubwa kwa mwanamke hasa usipotumika vema.
Unatoka mkoa gani baby tuanze maandalizi ya kukujengea sanam?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Kama kaniacha nimng'ang'anie Ili isiwe kosa la kiufundi? Mwisho aniue mpate headlines?
Mwanaume kapewa maamuzi ya mwisho na kaamua hivo, au kosa langu ni kuwa ok na maamuzi yake?
Ndio. Hupaswi kuwa Ok na uamuzi wa mume. Unapaswa uonekane kuathkrika.
 
Habari za jioni!

Jamani mwenzenu jana nimezinguana na baba watoto, katika purukushani nikamwambia niache nitikise kibiriti, akanijibu subiri. Sijakaa vizuri imeingia sms "Mimi baba Kidogoli nimekuacha Mamy K talaka 1, siyo mke wangu".

Yani hapa nipo nipo sijui nilie, sijui nicheke, nahisi Kisukari si Kisukari, Covid si Covid!

Wanazuoni njoni mnishauri hiyo si talaka tayari? Hivi kweli mkeo unayempenda akikwambia niache unamwambia hivyo, kuna mapenzi hapo?

Nipeni ushauri maana kesho anarudi nyumbani najua ataanza kunibembeleza na kunambia hakuwa anamaanisha. Kuna mapenzi hapa?

Ndoa za utotoni, huyo ni dhaifu tu! Hajakuwa kuelewa Mwanamke akiwa na hasira, na wewe ni mtoto, ni mwanamke mpumbavu anahekutumia text kama talaka wakati WA hasira.

1. Endekea na majukumu yako kama mke wala usionyeshe hasira.
2. Vaa tunguo tunguo twa kumtimia tamaa kama yupo.
3. Kama kaondoka piga kimya kabisa hata week

Atakuja wote na kuomba samahan
 
Niliongea na mtu recently akanishauri kuwa a woman is the greatest person who benefits katika familia. Na ndo maana kuna dada mmoja aliandika humu kuwa mama ake alimwambia kama kwenye ndoa unakula vizuri basi tulia. Usipaparike at all. Vingine ni vya kupita.

Mwanamke ndie hufaidika. Watoto watasomeshwa vizuri, wewe utakula utalala..wale watoto wanapokuwa mwanamke ndo utafaidika. Mtoto hata siku moja hamsahau mama labda tu kama hajielewi. Lakini mtoto ataenda huko akipata 10, 20 anamrushia mama anywe supu. Na hata akiwa anaenda kusalimia nyumban atabeba kitenge cha mama. Ni wachache huwa wanabeba labda suti, koti, sandal za baba lakin mama ndie benefactor. Sasa mwanamke huoni kuwa ukiwa na hekima ni kwa faida yako na ya kizazi chako baadae. Tatizo tunaruhusu mioyo yetu itupeleke race sana. Kiasi kwamba hatureason hata kidogo. Hii love inatupelekesha sana.

I bet its high time kumpa mwanaume space..uhuru. simaanishi udismind.. namanisha mpe space. Kuna mtu aliandika kuwa kama unataka heshima acha watu huru, utaona wanakosa ile nguvu ya kuringa kwako. Stop seeking happiness in your spouse utakufa unajiona. Chochea furaha ndani yako mwenyewe. Kabla hujakutana nae uliipata wapi furaha??? Watu hupenda vitu adimu. Anapoona unaweza kuwa na furaha bila yeye..atakuheshimu. haya maneno aliandika mwanaume mmoja hukuhuku JF. Give your spouse some space. Acha kuwa snoopy unafatilia simu sijui, unataka jua yuko wapi na nani, wengine mmeajiri mabodaboda kuwafatilia waume zenu..smh. tumejipa kazi ya upelelezi wanawake.

Haisaidii..inatuharibu psychology zetu. At the end. Umechimbua mambo huwezi tena yafukia. Linabaki kovu milele. Karma haikosei address. Kama anafanya jambo baya kwako...yatakuja tu kuvumbuka. Hakuna mtu alie faithful kwa Mungu af Mungu akamuaibisha. The word of God says..hakuna mwenye haki atakayeachwa kamwe.. haki yako itakawia kidogo lakini utaipata. Real happiness inatoka kwa Mola pekee.

Naongea from experience
Wise words...[emoji108][emoji109]
 
Nimekuelewa sasa my wangu, huu ujumbe wako umenifanya nimsamehe Baba Kidogoli wangu, manake Jana amerudi ghafla usiku, Kaja kunibembeleza na mizawadi anadai hajamaanisha.
 
Wanawake tuko so dramatic. And ninavyozidi kujifunza wanaume hawapendi drama kabisa. Mwanaume anapompata mwanamke akamuweka ndani ni kwa ajili ya kufanya maisha. Anataka amove forward nae towards their goal.

Hapa namsemea mwanaume mwenye akili timamu. So anategemea mke wake ajielewe, anatamani awe mcha Mungu, asiwe mchoyo chumbani despite mgogoro wowote utakaotokea, awe mama mzuri kwa watoto, awe mkwe,wifi,shemeji mzuri yani mambo ni mengi...na kikubwa zaidi utii.

Lakini nature yetu sisi wanawake tunapenda sana kutoa vitu moyoni maana tukibaki navyo vinapalia. Sasa shetani anajua hilo basi katutega sana. Mara nyingi tunabomoa ndoa zetu pale tunapofungua mdomo wetu. Lakini habari njema ni kwamba liko jibu la hii problem. Mwanamke linapotokea jambo afu wewe ndo mlengwa likakuumiza...itafute hekima na busara.

Narudia hakikisha kinywa chako kinatoa maneno ya HEKIMA NA BUSARA tu. Utajifunza wapi..soma biblia, fungua quran..vitabu vya dini vina miongozo. Hakutakuwa na drama ndani. Migogoro inapotokea na ukaropokwa maneno ya hasira au uchungu hutajenga..utabomoa. wanaume hawapendi drama ndugu zangu.

Mi naamini katika hekima hata mwanaume mjinga atajirekebisha. Zaidi we mke wake utasifiwa mpaka ataanza kuona atulie tu asipaparike. Na ndo maana bibi zetu walidumu. Si kwamba babu zetu hawakukosea. Lakini bibi walijua jinsi ya kuhandle. Mdomo ni adui mkubwa kwa mwanamke hasa usipotumika vema.

Comments zako nazifanyia lamination. Nimekupenda sana.
 
Back
Top Bottom