Mwenzenu nimeachwa kweli!

Dah aseeeh
 
Mmefikia wapi?

Kamrejesho please
 
Umeolewa?? You sound like a wife material..
 
Mwenyewe natamani iwe kweli, Ila tatizo kashaanza kunibembeleza anasema hajamaanisha....hajaniacha.
Ndo Naomba ushauri jamani hiyo si ni red card kabisa? Mwenyewe nataka kusepa mazima, kanichosha
Talaka ilishapita hiyo.....
Tayari umeachika TALAKA 1 LAKINI KAMA AKIKUREJEA BASI NDOA INAENDELEA


Hapo inahesabika TALAKA 1 tayari na Mtaendelea na maisha YENU ya ndoa meaning AMEKUREJEA LAKINI FAHAMUNI ZIMEBAKI 2....

Ukiachika ya 3 BASI HAPO HAKUNA KUREJEA UNAFUNGASHA VYAKWAKO UNARUDI ZAKO NYUMBANI.... Labda itokee UOLEWE KWINGINE UACHIKE NDIYO ANAWEZA KUKUOA TENA VINGINEVYO INABAKI HISTORIA....


Pole sana.... KUNA VITU IMEHARAMISHWA KUVICHEZEA IKIWEMO NDOA.... [TALAKA]
 
Pole sana
 
Uzuri Nina kibarua maisha yatasonga, kuhusu kupambana mwenyewe hainipi shida, kuna kipindi alipata Kazi mkoa mwingine alinipotezea mazima, sikuyumba sikulalamika, akarudi akanikuta.
Kifupi wewe umemchoka mumeo kwakua yawezekana maisha yake hayako stable, na kwa vile wewe una ajira.
Haya ndio huwa mnashauriana wanawake na huko kazini una makundi mabaya ya marafiki.
huoni impact yake kwako financially kias cha kuona kwamba hata usipokua nae haitaleta tofauti (financially) kwenye maisha yako
 
Tulisolve, ulikuwa utoto tu, sa hivi tunapendana kama tumeoana jana.
 
Kuna mmoja mwenzio huku mtaani kapewa talaka ya maandishi na mumewe kagoma kuipokea akakimbilia Kwa shehe aliewafungisha ndoa
 
Kumbe una akili
 
Great
 
Nina imani ulishajengewa sanamu lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…