Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
'Nimechokwaa'Kweli ya leo sio ya jana ,A to Z maumivu.
Brave enough broh!Hivyo nimepunguza kumhonga baby niko nahonga future (investment).
Karibu kwangu uje ule pumziko la milele Careen Toto zuri....[emoji85]'Nimechokwaa'
'Nimechokwaa'
Ngoja Shamba lianze kutema, najua atarudi.'Nimechokwaa'
Tuendelee kutafuta PESA."Mwanamke atazaa kwa uchungu na Mwanaume atakula kwa jasho" mwisho wa kunukuu....[emoji850]
Yap.Brave enough broh!
Hakika mkuu sweat is sweetYap.
Let's SAVE and INVEST for our FUTURE.
#YNWA
Sex is one of the basic need.TANGAZO TOKA KWA MR. TOZO
Stop chasing Sex Start chasing u'r Dreams..
Hela nilijua hela sina muda siku hizi na nyie wagumu wakutoa pesaaEeh bwana eeeh ofisini tumepata bosi mpya.
Kwenye kupitisha madokezo ni mgumu balaa..!!
Sasa nikatafakari nikaona ni wakati wa kubadilisha matumizi ya pesa ili kuendana na wakati uliopo.
Sasa nimegeuka bahili, ila sio bahili sanaa.
Demu wangu akiwa akiniomba 40k ya kusukia mi nampa 20k.
Akiniomba 50k nampa 30k au sometimes sina..!!!
Kwanini nimekua bahili?
Kwasababu pesa zimekua ngumu na investments zangu bado ni ndogo zinahitaji kulelewa.
Hivyo nimepunguza kumhonga baby niko nahonga future (investment).
Eeh mwenzenu mara ya mwisho si nikaombwa ya kusukia, nikajibu "Sorry baby me sina".
Mwezenu si akasusa.
Yaani tokea tarehe 10/08 mpaka leo demu yupo kimyaaaa.
Dah ndio hivyo tena NIMEACHWA..!!
Hapa nipo nakunywa zangu mirinda nyeusi huku natafakari chimbo la kwenda kujiopolea manzi..!!!
Halafu alishaanza na habari zake za NIOE...
Kwahiyo ningemuoa halafu humo ndani ya ndoa pesa zikapotea (shida zikaingia) ingekuaje?
Kwamba angeenda gongwa au?
We tokea tarehe 10/08 nimechuniwa, najua sasa hivi Kunakurungwa anasugua mbunye huku natukanwa kimoyomoyo bahili Mimi..!!!
Ngoja niendelee kutafuta pesa.
Huyu ndio anayenifanya niwe bahili👇👇👇👇
View attachment 1905281
Kwahiyo alitaka niache kuhudumia Shamba langu halafu nimuhudumie yeye "Nyauuuu kabisa"
Wanaume tuendelee kutafuta hela.
KUOA SIO MPANGO.
NDOA NDOANO
NDOA NGUMU
NDOA MAJANGA
NDOA MOTO
We TAFUTA hela maana, Your future depends on you boy.
Niko namendea mbususu ya kingoni ili nilijiliwaze nayo weekend..!!
INVESTMENT is BETTER than BUSINESS.
#YNWA
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Itakua ni Kazi ya kumfanya sperm dustbin.