Mwenzenu nimeachwa

Mwenzenu nimeachwa

TANGAZO TOKA KWA MR. TOZO
Stop chasing Sex Start chasing u'r Dreams..
Sex is one of the basic need.
Sex inakufanya ujisikie mwepesi na uanze siku upya.

Sex ikiwa Tamu hata wiki nzima huwa Tamu.

Let's Invest for our future.

#YNWA
 
Eeh bwana eeeh ofisini tumepata bosi mpya.
Kwenye kupitisha madokezo ni mgumu balaa..!!

Sasa nikatafakari nikaona ni wakati wa kubadilisha matumizi ya pesa ili kuendana na wakati uliopo.

Sasa nimegeuka bahili, ila sio bahili sanaa.

Demu wangu akiwa akiniomba 40k ya kusukia mi nampa 20k.

Akiniomba 50k nampa 30k au sometimes sina..!!!

Kwanini nimekua bahili?
Kwasababu pesa zimekua ngumu na investments zangu bado ni ndogo zinahitaji kulelewa.

Hivyo nimepunguza kumhonga baby niko nahonga future (investment).

Eeh mwenzenu mara ya mwisho si nikaombwa ya kusukia, nikajibu "Sorry baby me sina".

Mwezenu si akasusa.
Yaani tokea tarehe 10/08 mpaka leo demu yupo kimyaaaa.

Dah ndio hivyo tena NIMEACHWA..!!

Hapa nipo nakunywa zangu mirinda nyeusi huku natafakari chimbo la kwenda kujiopolea manzi..!!!

Halafu alishaanza na habari zake za NIOE...

Kwahiyo ningemuoa halafu humo ndani ya ndoa pesa zikapotea (shida zikaingia) ingekuaje?
Kwamba angeenda gongwa au?

We tokea tarehe 10/08 nimechuniwa, najua sasa hivi Kunakurungwa anasugua mbunye huku natukanwa kimoyomoyo bahili Mimi..!!!

Ngoja niendelee kutafuta pesa.

Huyu ndio anayenifanya niwe bahili👇👇👇👇
View attachment 1905281

Kwahiyo alitaka niache kuhudumia Shamba langu halafu nimuhudumie yeye "Nyauuuu kabisa"

Wanaume tuendelee kutafuta hela.

KUOA SIO MPANGO.

NDOA NDOANO
NDOA NGUMU
NDOA MAJANGA
NDOA MOTO

We TAFUTA hela maana, Your future depends on you boy.

Niko namendea mbususu ya kingoni ili nilijiliwaze nayo weekend..!!

INVESTMENT is BETTER than BUSINESS.

#YNWA
Hela nilijua hela sina muda siku hizi na nyie wagumu wakutoa pesaa
 
Back
Top Bottom