Mwenzenu sijui kwanini hivi!

Mwenzenu sijui kwanini hivi!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Mwenzenu sijui nini mimi nikiona Wamama hakili inahama!mimi watoto chini ya miaka20 sina hobi nao, mimi mijimama wawe umri wa 40 na amezaa kama mara 3 basi kwangu brudani.
 
Isay mimi niko tofauti kabisia na wewe, nikiona babe'z girls ndo usiseme haswa wakiwa hot babes.
 
Bora
Kesi za ubakaji za jamhuri hazitakupata

Ila nawe
Penda used in China, Dubai, Dar ndo na wewe utumie
Anyway kipenda roho hula nyama iliyochomwa
 
Ila hobi yako inaendana na avatar yako
Kama vile ina akili kwa kurudi nyuma
 
Una umri gani brother? Inawezekana na wewe una above 40 so kupenda wenye 40 and above ruksa mkuu maana kupenda ni haki yako halali! otherwise, unaweza kuwa na matatizo ya kisaikolijia, si kawaida vijana kupenda mi mama kama hawana mpango wa kulelewa!
 
Mwenzenu sijui nini mimi nikiona Wamama hakili inahama!mimi watoto chini ya miaka20 sina hobi nao, mimi mijimama wawe umri wa 40 na amezaa kama mara 3 basi kwangu brudani.

kakakiiza jibu pm please
 
Mmmmmh, hongera sana. Kwani hata majimama nayo yana haki ya kupendwa na ........................!!
 
actually hii yako yawezekana ni side efects za kukosa
'mapenzi ya mama utotoni'....

ni true huwatokea wengi...

Na pia ni silka ya watoto waliotanguliza miguu wakati wanazaliwa. HATA SIE KWETU WAPO.
 
Msemaji (muasisi uzi) akiwa na matatizo ya fuse kichwani, basi wasikilizaji (wachangiaji) mwatakiwa fuse zenu ziwe nzima!. Wachangiaji wakiwa na tatizo la fuse basi mleta uzi fuse iwe nzima. Unlucky ikatokea Msemaji na wachangiaji wote fuse arijojo, kwshynehi, Jf will be Matope soon.
 
Back
Top Bottom