Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisay inawezekana.actually hii yako yawezekana ni side efects za kukosa
'mapenzi ya mama utotoni'....
ni true huwatokea wengi...
mweehh!!!Ila hobi yako inaendana na avatar yakoKama vile ina akili kwa kurudi nyuma
Mwenzenu sijui nini mimi nikiona Wamama hakili inahama!mimi watoto chini ya miaka20 sina hobi nao, mimi mijimama wawe umri wa 40 na amezaa kama mara 3 basi kwangu brudani.
ungekua kwetu huku ughaibuni ungenyong...Sijamsema yeyeNimesema avatar yake jamani
alfunuuni majunuuni....
actually hii yako yawezekana ni side efects za kukosa
'mapenzi ya mama utotoni'....
ni true huwatokea wengi...