Mwenzenu yalinikuta: Tujuzane yaliyokukuta valentine 2022

Mwenzenu yalinikuta: Tujuzane yaliyokukuta valentine 2022

Bado kabisa, afu kalilewa mno mpk KERO[emoji4]
Sasa kwanini upoteze muda wako na learner?
Halafu umeacha mambo ya maana kwa mama J eti umeenda kujipump mwenyewe maana kula kwa ndom ni kama unajikula mwenyewe...
We nae mjanjaaa halafu unakuja kufanya harakati hasara
Kwanza nimekumbuka Leo haijafika eehh?
 
Sasa kwanini upoteze muda wako na learner?
Halafu umeacha mambo ya maana kwa mama J eti umeenda kujipump mwenyewe maana kula kwa ndom ni kama unajikula mwenyewe...

Mtoto akililia wembe mpe,nikitoa TU msaada wa kumpunguzia. nitalipwa ata huko mbinguni[emoji4]
 
Mtoto akililia wembe mpe,nikitoa TU msaada wa kumpunguzia. nitalipwa ata huko mbinguni[emoji4]
Eti utalipwaaa
Achaga kazi ya yesu bwana... kitu inapaswa iwe win-win.. umeniangusha sana...sasa wew me nasubiri hekaheka za mama J unaleta ishu za mtu analewa hadi anasahau wajibu... yeye alijua valentine aletewe zawadi, athletes out alewe na kulala...
Ameniudh sana
Leta heka heka OG za ma J kubwa lao
 
Back
Top Bottom