maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Siku ya Valentine's day nilikua nimepanga nikitoe out kitoto flani cha chuo ila kinakaa kwao na wala sio kidem changu ila ilikua gia ya kukitafuna. Maza wake nafahamiana nae kiasi coz nilishafanya kazi yake kama mara mbili na hata huyo dem nilimfaham sababu alikujaga na mamaake mara zote hizo,na mara ya mwisho nilivoomba namba alitumwa na mamaake kunipitishia balance yangu enzi tozo imetamalaki.Ha ha ha.....
Wee nae Ni balaa, ilkuaje kuaje mkuu[emoji4]
Ni vitoto flani mayai so nilikua naview tu status zake na hata tulikua hatuchatigi kiivo hadi siku moja kaweka post flani status nikamtania nikaona yupo interested ndo hadi tukapanga huo mtoko. Ila nikamuuliza itakuaje home kwenye kuaga maana nishamwambiaga maza hata asijue huwa tunawasiliana.
Akasema sio ishu kuna best yake wanakuaga wote na sometimes analala kwao so nimpange mapema tu ili mazeli amruhusu maana huyo mwenzake kapanga jirani na chuo. Ila akaomba na mwenzake tutoke nae maana sio vizuri amuache wakati ndo kamsaidia kupata ruhusa.
Kweli nikawapitia tukaenda kiwanja flani maarufu mbezi beach. Vitoto vikafakamia flying fish kumbe hata sio vinywaji...kufika saa sita tu hoi havijiwezi kabisa,yule wa kwangu ndo full drama hadi analia..yule rafiki yake kidogo yuko sawa ila nae alikunywa 3 tu hoi mwenzie ndo kapiga 5 za fasta na si mnywaji.
Nikaagiza maji makubwa ya baridi wanywe,hola...mwagia maji hola. Ikabidi tumkokote yule wangu hadi kwenye gari yaani full drama,tukamlaza siti ya nyuma afu mwenzake nikakaa nae mbele. Kidem kizuri hatari na kigauni flani chepesi kifupi alivokaa kikapanda juu nikasema hakyanani we nakukula liwalo na liwe.
Sasa tatizo likawa yule wangu halali usingizi analialia tu mara mama akijua ataniua..mara kwanini hatujamzuia kunywa...so ikawa hanipi gap la kupiga storry na mwenzake maana mwenzake anambembeleza. Mara paa tumefika magetoni.
Nikashuka fasta na yule mwenzake nikamwambia please ukimpeleka ndani uje mara moja tukae hata kwenye gari maana sikutegemea kampani kuisha mapema hivi nami bado namizuka. Akasema poa ila siwez muacha peke yake ndani nikaenda mbali,nikamwambia tunakaa tu kwenye gari kidogo nivutie mda wa kwenda kulala.
Basi akampeleka ndani...nilifanya mistake sikuchkua namba ya kile kitoto maana nilikaa zaidi ya lisaa pale nje haji. Nikapata hasira nikaanza sepa mara kwa mbele namuona dem nae anakuja uelekeo wangu maana ule mtaa usiku huwa unafungwa na yale mageti sababu upande wa pili hautoki so nikajua nae atakua dent anakaa moja ya zile nyumba.
Ndo nikasimama nikashuka nikamuita akaja. Ni dem mzuri tu black beauty na kifigure chake kama dem wangu wa zamani mngaza wa kanda ya ziwa. Nikamdanganya kuna dem alinielekeza anakaa pande hizi nilimuomba outing afu nimekuja hadi huku kanipotezea. Dem akasema valentine leo labda katoka na mtu wake,nikamwambia si angenambia tu.
Basi tunapiga story huku mi nikimsisitiza anipe kampani sina namna akawa anachomoa. Nikamwambia basi twende tu hapo kitambaa cheupe (mpya ya sinza) maana ni mtaa wa pili tu akasema ye hapendagi makelele. Ila pamoja na kuchomoa kote bado alikua interested na story maana alikua haondoki ila nahisi ni ule wasiwasi kuwa hanifaham.
Mwishoni nikaomba contact nikambeep ndo akaanza kulegeza na mwishoni tukaenda kukaa sehem jirani na mitaa ile. Ndo akanambia ye sio dent ila anafanya kazi supermarket posta.. kampani ilinoga hadi sa tisa hivi na akakolea na nikaenda kumtafuna vizuri sana .. akanambia bwanaake ni mme wa mtu so hanaga habari na vitu vya kitoto kama Valentine's day.
Ajabu hadi leo namba yake haipatikani wakati usiku ule nilimbeep ikaita maana aliniokoa afu ni dem anajielewa kabisa aisee namimi nataka niendeleze nae libeneke