Kashenz sanaaEeeh yaani acha kabisa binamu wabaya sanaa
kuna binamu yangu kaniharibia mahusiano mara mbili yaani unafki unafki na vihelehele umbea umbea mwingi
Bahati nzuri ni favorite cousin kwa mama shangazi shangazi ya nyokoo bila hivo hata salamu nisingempa
Arusha is really beautiful...Kuna dada angu mmoja mshkaji wangu wa nguvu sana yumo humu jf Kuna kipind alnambia alihamia Arusha.
Ngoja nmuulize Kama bado yupo uko Arusha afu nikunganishe nae[emoji4]
Arusha pazur Sana uko[emoji4]
niliwahi kuja uko na Mchepuko wangu uyu msumbufu. Tulifikia hotel moja inaitwa mercury iko karibu na . Tukaenda sehem moja inaitwa waterfalls milimani uko ,snake park, sehem nyingine wanaita kwa mrefu Kuna jamaa anatafuna vioo pamoja na sehemu nyingine za vivutio vidogo vidogo kadhaa.
Pia Kuna sehem moja wanaita sijui molombo, aisee kile kisehem kimechangamka sana.
Wanakaanga sana nyama ya mbuzi na tukapiga Sana bia pale. Pamechangamka kweli.
Honestly ARUSHA MJI Bomba SANA ULE[emoji4]
Maisha yako ni full drama...ukimpata muandishi mzuri unaweza ukaandika kitabu cha maisha yako (familia & mchepuko)Ha ha ha Aya maisha yangu na michepuko Ni ya sarakasi Sana mkuu[emoji4]
Ungevipiga threesomeVile vitoto viliniboa sana...ndom ni jadi...nazifichaga kwenye buti mzee
Hahahahaha pole mkuuNimeenda kula gambe na mchepuko wangu yupo na mdogo wake,kala savana 4 akawa hoi tukaendakulana kwenye gari. Nimefika home nikalala wife asubuhi anakuja amefura kuna chupi ya mwanamke kwwnye gari na risiti ya elf 50 ya vinywaji. Ugomvi wake haujaisha. Kumbe dem nlivomaliza akaisahu kwenye gari
Nikiandika kitabu nitajulikana afu ntaharibu kwa wife,Maisha yako ni full drama...ukimpata muandishi mzuri unaweza ukaandika kitabu cha maisha yako (familia & mchepuko)
Dah! Jamaa ako Yuko very romantic [emoji39]Mpnz wangu na mimi tunafanya kazi mikoa tofauti so alinitumia hela nikanunue chupi nzuri nyekundu halafu nimpigie video call.[emoji23][emoji23]
I wish angekua karibu ili aivue na mdomo wake[emoji179]
Ha ha ha....Nimeenda kula gambe na mchepuko wangu yupo na mdogo wake,kala savana 4 akawa hoi tukaendakulana kwenye gari. Nimefika home nikalala wife asubuhi anakuja amefura kuna chupi ya mwanamke kwwnye gari na risiti ya elf 50 ya vinywaji. Ugomvi wake haujaisha. Kumbe dem nlivomaliza akaisahu kwenye gari
Ha ha ha....weeeee
Ngoja waje wakumwagie petroleum na dada ake we sema hana wivu
Bado ka mwanafunzi kana shidashida ndo maana hata akiwa na wivu atafanyaje
Ila mabinamu wabaya sana siwezi tambulisha binamu yangu kwa mupenzi wangu mafarafara sana hawana uchungu kabisa anaweza hata kukuwekea sumu ili abebe mume tu
Shindwa pepo hakuna shemeji wala shemela kwa binamu
Niache zipiiHa ha ha....binamu acha hizo wewe[emoji4]
Ndo tunasubiri amalizie.Lakini Hajatwambia bado alijiteteaje kwa mama watoto wake khs iyo chup ?
Ufunguo sio ishu kubwa, angeweza kujitetea vyoyote akaeleweka.Ndo tunasubiri amalizie.
Ila angejifanya kushtuka kana kwamba duh yule mshikaji wangu nilimwazima gari ndo alienda kulia tunda humo.
Nilishawahi kudate na mume wa mtu, so sometimes tulikua tunapiga show kwenye gari kwasababu uvumilivu unatushinda, ila nikishuka tu jamaa alikua anakaguwa gari lake vizuri.
Nakumbuka kuna siku aliniita nje ya nyumba yetu tukafanya mambo kwenye gari and ilikua saa 8 usiku , Nikasahau funguo wa getini kwenye gari lake na geti nilikua nimeifunga kwa nje,uzuri aliniita na kunipatia funguo wangu baada ya kukagua.
Aise ungekua msala home asingekua anakagua gari lake incase angeondoka nao bahati mbaya.
Ni kweli.Lakini my mum alikua nje na anytime angepiga simu afunguliwe geti or may be angetukuta nje tunafanya mambo yetu ..ImagineeUfunguo sio ishu kubwa, angeweza kujitetea vyoyote akaeleweka.
Kuna vitu kujitetea Ni ngumu mno Kama hizi nguo za ndani, condom, au kitu chochote Cha kike[emoji4]