Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Kashenz sanaaEeeh yaani acha kabisa binamu wabaya sanaa
kuna binamu yangu kaniharibia mahusiano mara mbili yaani unafki unafki na vihelehele umbea umbea mwingi
Bahati nzuri ni favorite cousin kwa mama shangazi shangazi ya nyokoo bila hivo hata salamu nisingempa
Sa sijui wanataka wao ndo waolewee