Mwenzi huu wa 10 wanandoa wawe makini sana na ndoa zao.

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,840
Reaction score
8,202
Habari wandugu.

Baadhi mtaona kama kitu kipya kwenye masikio yenu.
Ukweli ni kwamba kuna mwanamke aliyeishi na Adam na hakutaka kutawaliwa na Adam aliitwa Lilith.

Baada ya maisha na Adam akaamua kuasi kuishi kivyake na maisha yake.
Huyo Lilith akabadirika akawa umbo la sayari .

Kazi kubwa ni kutaka wanawake wawe huru wasiwe chini ya Wanaume yaani wasitawaliwe na Wanaume.
Mwezi wa 10 ndio muda ambao anahakikisha yanatokea kwa wanawake .

Sasa nini kinatokea pale mwanamke asipotaka kutwaliwa na Mwanaume ni ndoa kuvunjika au hata ugomvi wenye madhara makubwa.
 
Umemulika mbali boss....
 
Inasikitsha sana ,poleni ndugu ,jamaa na marafiki.

1791030181612.png
 
Baada ya maisha na Adam akaamua kuasi kuishi kivyake na maisha yake.
Huyo Lilith akabadirika akawa umbo la sayari .

Kazi kubwa ni kutaka wanawake wawe huru wasiwe chini ya Wanaume yaani wasitawaliwe na Wanaume.
Mwezi wa 10 ndio muda ambao anahakikisha yanatokea kwa wanawake.
Sounds like a cult ?! Huyu Lilith na mpango wake huo.
 
Ila binadamu wa JF mnajua kwenda na upepo mixer kupiga ramli za kiganga😀😀mmeshamalizana na la connection ya Mwigulu sasa hivi mmehamia kwenye wachaga kupigana shaba za kichwa huko bunju
 
Habari wandugu.

Baadhi mtaona kama kitu kipya kwenye masikio yenu.
Ukweli ni kwamba kuna mwanamke aliyeishi na Adam na hakutaka kutawaliwa na Adam aliitwa Lilith.

Baada ya maisha na Adam akaamua kuasi kuishi kivyake na maisha yake.
Huyo Lilith akabadirika akawa umbo la sayari .

Kazi kubwa ni kutaka wanawake wawe huru wasiwe chini ya Wanaume yaani wasitawaliwe na Wanaume.
Mwezi wa 10 ndio muda ambao anahakikisha yanatokea kwa wanawake .

Sasa nini kinatokea pale mwanamke asipotaka kutwaliwa na Mwanaume ni ndoa kuvunjika au hata ugomvi wenye madhara makubwa.
Kama kweli
 
Back
Top Bottom