Umemulika mbali boss....Habari wandugu.
Baadhi mtaona kama kitu kipya kwenye masikio yenu.
Ukweli ni kwamba kuna mwanamke aliyeishi na Adam na hakutaka kutawaliwa na Adam aliitwa Lilith.
Baada ya maisha na Adam akaamua kuasi kuishi kivyake na maisha yake.
Huyo Lilith akabadirika akawa umbo la sayari .
Kazi kubwa ni kutaka wanawake wawe huru wasiwe chini ya Wanaume yaani wasitawaliwe na Wanaume.
Mwezi wa 10 ndio muda ambao anahakikisha yanatokea kwa wanawake .
Sasa nini kinatokea pale mwanamke asipotaka kutwaliwa na Mwanaume ni ndoa kuvunjika au hata ugomvi wenye madhara makubwa.
Inasikitsha sana ,poleni ndugu ,jamaa na marafiki.Habari wandugu.
Baadhi mtaona kama kitu kipya kwenye masikio yenu.
Ukweli ni kwamba kuna mwanamke aliyeishi na Adam na hakutaka kutawaliwa na Adam aliitwa Lilith.
Baada ya maisha na Adam akaamua kuasi kuishi kivyake na maisha yake.
Huyo Lilith akabadirika akawa umbo la sayari .
Kazi kubwa ni kutaka wanawake wawe huru wasiwe chini ya Wanaume yaani wasitawaliwe na Wanaume.
Mwezi wa 10 ndio muda ambao anahakikisha yanatokea kwa wanawake .
Sasa nini kinatokea pale mwanamke asipotaka kutwaliwa na Mwanaume ni ndoa kuvunjika au hata ugomvi wenye madhara makubwa.
Sounds like a cult ?! Huyu Lilith na mpango wake huo.Baada ya maisha na Adam akaamua kuasi kuishi kivyake na maisha yake.
Huyo Lilith akabadirika akawa umbo la sayari .
Kazi kubwa ni kutaka wanawake wawe huru wasiwe chini ya Wanaume yaani wasitawaliwe na Wanaume.
Mwezi wa 10 ndio muda ambao anahakikisha yanatokea kwa wanawake.
Hadi wew chumvi kiungo cha mboga yamekukuta?...Mapenzi yafutwe jamani tufanye mambo mengine.....muda wenyewe hautoshi
subirini kidogo maana penzi langu ndo kwanza limeanza kustawi kama mboga za makaburini na chooniMapenzi yafutwe jamani tufanye mambo mengine.....muda wenyewe hautoshi
Bro mtaachana tu 😁subirini kidogo maana penzi langu ndo kwanza limeanza kustawi kama mboga za makaburini na chooni
Hamna mi hata mpenzi sina, mi ni mpenzi mtazamaji......Hadi wew chumvi kiungo cha mboga yamekukuta?...
Ulizinesa kavu kavu na kipenda roho chako?
naelewa bro ila nipeni muda😅Bro mtaachana tu 😁
Bro havina muda hivyo we fanya mambo menginenaelewa bro ila nipeni muda😅
siwezi bro naogeshwa kwa maziwa na kukandwa kwa samli ni ngumu kujinasua 😎Bro havina muda hivyo we fanya mambo mengine
Kama kweliHabari wandugu.