Mwezi huu nimekataliwa na warembo 4 kwa sababu ya kuwa na nywele nyekundu

Acha hasira
Wa kupiga mbupu utapata na wakukataa utapata pia, usilalamike kukataliwa
 
Kubali yaishe mkuu.
Njoo Sinza tukupake super black umalize hiyo nuksi
 
Kubali yaishe mkuu.
Njoo Sinza tukupake super black umalize hiyo nuksi
 
Acha hasira
Wa kupiga mbupu utapata na wakukataa utapata pia, usilalamike kukataliwa
Hahahaaa mimi kukataliwa na kukubaliwa na mwanamke ni sunna na huwa silazimishi wa kubembeleza kwa sababu ile ni huduma tu na mliumbwa kwa ajili yetu kwa matumizi hayo na ya ziada

Ni kama ukiwa na kiu ya maji utayatafuta na kuyanywa iwe ni kwa kununua au kwa kuomba kwa jirani yako au kuchota ya bomba au mtoni
 
Hwqogopi nywele nahisi wanaogopa una chembechembe za ualibino,umesema mweupe nywele nyekundu ni wale Jamii wanawaita duvi,nimependa unajikubali utapata tu atakae kupenda kwa ulivyo.
 
Hwqogopi nywele nahisi wanaogopa una chembechembe za ualibino,umesema mweupe nywele nyekundu ni wale Jamii wanawaita duvi,nimependa unajikubali utapata tu atakae kupenda kwa ulivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duvi?
 
Huyo ni Albino wa mzazi mmoja
 
Attachments

  • Screenshot_20230701-133110.jpg
    144.7 KB · Views: 13
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…