Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulisema umeacha lakini. Kumbe bado upo huko? Tutafute ngawila wadogo zangu.Naam Naam
sisi apeche alolo tunaponea huko
Kweli aiseeIla zimetofautiana tu mkuu
Nimeona yoteAnza na utakaloona
Umesoma uzi wote au umekurupuka boss?[emoji38]Tafuta hela. Ukiwa na hela wanawake watakubaka
Hahahahahahaha daaah! Huo uchawiOga chumvi yamawe mkuu, usisahau kunuia jambo lako
niliacha nikaanza ku date mzee, nilituma sana vocha za 3k, alipotaka ya kusuka, sikujibu tenaUlisema umeacha lakini. Kumbe bado upo huko? Tutafute ngawila wadogo zangu.
Nimejikubali nilivyo kaka.Kweli aisee
Basi anza na yote JoanahNimeona yote
Uchawi ni nini?Hahahahahahaha daaah! Huo uchawi
Sasa nani mjanja kati yako na yake? Amekula elfu tatu tatu zako na bila shaka hujamla[emoji23]niliacha nikaanza ku date mzee, nilituma sana vocha za 3k, alipotaka ya kusuka, sikujibu tena
nikachomoka moja kwa moja
sasa nimerudi chamani
😀 😀 😅 😅 we acha tu, inauma kishenziSasa nani mjanja kati yako na yake? Amekula elfu tatu tatu zako na bila shaka hujamla[emoji23]
Kama umejikubali ni jambo zuriBasi anza na yote Joanah
Uchawi kutumia imani tofauti na aliyoagiza Mungu (referred from Bible) ili kufanikisha jambo.Uchawi ni nini?
Jamani hali gani?
Niruke kwenye hoja yangu. Mimi ni mwanaume handsome tu safi, ninajua kuvaa na nina vihela vya kubadili mboga na tugari. Nimekuwa nikipata shida mno kupata mwanamke wa kuingia naye mahusianoni kwa sababu ya shida yangu ya nywele nyekundu.
Nina nywele nyekundu ndiyo, ila si kipili pili yaani zile za kujiviriga viriga na kuwa 'tim tim'. Nikichana zinachanika fresh na zinakuwa level safi tu, shida ni rangi yake nyekundu. Daaah! Yaani naandika huku nacheka na sijui kwa nini!
Simply tu nimegundua warembo wanaangalia mno nywele, na ndiyo maana vijana wengi wa sasa wanawekeza sana kwenye mitindo ya nywele na rangi. Siku hizi hakuna kitu kinachouzika madukani kama super blacks, zamani ilikuwa wateja ni wazee, ila nowadays ni vijana wenzetu ndiyo wateja.
Anyway nimejikubali na kuikubali hali yangu ya nywele, nimekataa kutumia super blacks na taka taka nyingine.
Kutokana na mazingira niliyokutana nao hawa mabinti, ilikuwa si rahisi kunijua kwa ukaribu hivyo hawakujua kuwa nina tuchenji, walianza kunihukumu kwa rangi ya nywele.
NB: Nimekubali yaishe ila nywele kupaka black ni big no. Najikubali, kwanza ukiwa mweupe na ukawa na nywele za kizungu (nyekundu) ni bonge la mvuto, mradi tu ziwe safi.
Ila kwa nyie weusi halafu mkawa na nywele nyekundu kwa kweli ni kituko mno (samahanini kwa kusema hili). Siku hizi kuna rate ya watu wengi weusi kuwa na nywele nyekundu, huo ni uchafu, ni kituko.
I think ukiwa mweusi na ukawa na nywele nyekundu super black itakufaa sana. Unlike kwa mtu mweupe kama mimi.
Mwenye kujua dawa tiririka weusi wapone.
Mkuu I mean napata shida mno kushawishi katika hatua zile za kufahamiana... huwa sipendi nionekane ninazo.
Hahaha nakumbuka at my early twenties nilikuwa namla malaya mmoja kavu kavu na sikupata gono wala kaswende wala HIV😀 😀 [emoji28] [emoji28] we acha tu, inauma kishenzi
nashukuru sikumla pengine ningeingia gharama zaidi za kununua Azuma na PowerCef
Umesoma uzi wote au umekurupuka mkuu?[emoji38]Tafuta hela hakuna mwanaume mwenye nywele nyekundu
Tafuta hela mademu hawaangaliagi rangi ya nywele
Tafuta hela wewe!!
Hongera SanaHahaha nakumbuka at my early twenties nilikuwa namla malaya mmoja kavu kavu na sikupata gono wala kaswende wala HIV