Mwezi huu wa December peke yake nimeombwa hela na wanawake takriban 29

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Wengine nimewapiga block,
Wengine nimewapotezea sipokei simu zao,wengine nawqoiga kiswahili.
Hakuna niliyemuambia kuwa sina.na hakyna niliyenpa hata mia
Mwanaume usiseme sina.utakuwa John Cena,
Hivi wanawaje hudhani sisi tunaikotahela?
 
Kati ya hao 29 wangapi ushawala?

Kati ya hao 29 wangapi ulikuwa unampango wa kuwala?

Kati ya hao 29 wangapi ni wake/wapenzi wa watu?

Kati ya hao 29 wangapi umri wao upo kwenye rika lipi chini ya 25 ni wangapi? 25-29 ni wangapi? Zaidi ya 30 ni wangapi?

Kati ya hao 29 wangapi wana misambwanda?

Kati ya hao 29 wangapi elimu zao ni la saba? Form4 au kushuka chini? Form 6? certificate ? Diploma? Degree? Masters? Phd?

Kati ya hao 29 wangapi wana watoto?
 
Wengine nimewapiga block,
Wengine nimewapotezea sipokei simu zao,wengine nawqoiga kiswahili.
Hakuna niliyemuambia kuwa sina.na hakyna niliyenpa hata mia
Mwanaume usiseme sina.utakuwa John Cena,
Hivi wanawaje hudhani sisi tunaikotahela?
Wee shujaa aisee, wanawake 29 mwezi mmoja?
Anyway, ukiwa huna hela mwanamke anakuona mbuzi tuu.
 
Kati ya hao 29 wangapi ushawala?

Kati ya hao 29 wangapi ulikuwa unampango wa kuwala?

Kati ya hao 29 wangapi ni wake/wapenzi wa watu?

Kati ya hao 29 wangapi umri wao upo kwenye rika lipi chini ya 25 ni wangapi? 25-29 ni wangapi? Zaidi ya 30 ni wangapi?

Kati ya hao 29 wangapi wana misambwanda?
Umri wao kuanzia miaka 17 mpaka 35
Humo kuna wanafunzi wa sekondari mpaka wake za watu nimeshakula kama 8 humo
 
Back
Top Bottom