Mwezi huu wa December peke yake nimeombwa hela na wanawake takriban 29

Mwezi huu wa December peke yake nimeombwa hela na wanawake takriban 29

Wengine nimewapiga block,
Wengine nimewapotezea sipokei simu zao,wengine nawqoiga kiswahili.
Hakuna niliyemuambia kuwa sina.na hakyna niliyenpa hata mia
Mwanaume usiseme sina.utakuwa John Cena,
Hivi wanawaje hudhani sisi tunaikotahela?
Nipasie kadhaa nkusaidie kaka
 
Jamani kwani kuna ubaya gani? Kama pesa ipo wacha watoe tu.
Ubaya upo maana wanafanya nyie mtudharau sie tusiokuwa nanhela mnatukwepa kama ukoma alafu mjue nansie tunahitaji mbususu zenu
 
Kati ya hao 29 wangapi ushawala?

Kati ya hao 29 wangapi ulikuwa unampango wa kuwala?

Kati ya hao 29 wangapi ni wake/wapenzi wa watu?

Kati ya hao 29 wangapi umri wao upo kwenye rika lipi chini ya 25 ni wangapi? 25-29 ni wangapi? Zaidi ya 30 ni wangapi?

Kati ya hao 29 wangapi wana misambwanda?


Kati ya hao 29 wangapi elimu zao ni la saba? Form4 au kushuka chini? Form 6? certificate ? Diploma? Degree? Masters? Phd?

Kati ya hao 29 wangapi wana watoto?
Swali la maana sana hili.
 
Back
Top Bottom