Mwezi huu wa December peke yake nimeombwa hela na wanawake takriban 29

Mwezi huu wa December peke yake nimeombwa hela na wanawake takriban 29

Wengine nimewapiga block,
Wengine nimewapotezea sipokei simu zao,wengine nawqoiga kiswahili.
Hakuna niliyemuambia kuwa sina.na hakyna niliyenpa hata mia
Mwanaume usiseme sina.utakuwa John Cena,
Hivi wanawaje hudhani sisi tunaikotahela?
Hao hao wanaokuomba wameomba na wengine. Pia wana mishahara yao. Pesa zao wanajengea nyumba na kununua Ardhi.....ukiwa na huruma utasikia wenzako tu ndio wanakua kiuchumi wewe utaishia kulaumua ccm
 
Wengine nimewapiga block,
Wengine nimewapotezea sipokei simu zao,wengine nawqoiga kiswahili.
Hakuna niliyemuambia kuwa sina.na hakyna niliyenpa hata mia
Mwanaume usiseme sina.utakuwa John Cena,
Hivi wanawaje hudhani sisi tunaikotahela?
Naomba niwe wa 30 mkuu🤣🤣🤣
 
Dah kuna mmoja aliniomba asubuh nilizuga takupa bdae sahz yupo live mesej zimeanza kuingia
 
Wewe si umesema hudate wanawake maskini ina maana upo njema. Sasa inakuaje tena hiyo comment yako?
Ah ningekuwa njema unadhani ningekuwa hapa jf nawabembeleza mnigaie mbususu zenu kweli.....mie mwenyewe ni broke mpaka nikikuna pumbuz zinatoa unga
 
2025 slogan yetu ni "dont date broke ladies"
Ila ubaya ni kuwa broke ladies wengi wanakuaga na muonekano huu, it's a very sad world indeed mzabzab
Screenshot_20241227-195529.jpg
 
weka uthibitisho kama huu mkuu😅😅😅

mimi huwa nawapunguza kiaina!

na wanaambiana kabisa ukienda kwa Solo kuomba hela za bure lazima akuombe K😭😭
Screenshot_20241227-201155.jpg
 
Back
Top Bottom