Mwezi huu wa December peke yake nimeombwa hela na wanawake takriban 29

Wengine nimewapiga block,
Wengine nimewapotezea sipokei simu zao,wengine nawqoiga kiswahili.
Hakuna niliyemuambia kuwa sina.na hakyna niliyenpa hata mia
Mwanaume usiseme sina.utakuwa John Cena,
Hivi wanawaje hudhani sisi tunaikotahela?
Nipasie kadhaa nkusaidie kaka
 
Jamani kwani kuna ubaya gani? Kama pesa ipo wacha watoe tu.
Ubaya upo maana wanafanya nyie mtudharau sie tusiokuwa nanhela mnatukwepa kama ukoma alafu mjue nansie tunahitaji mbususu zenu
 
Swali la maana sana hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…