Mwezi jana nilitembea na ndugu wa mke wangu ambaye pia kaolewa, alikuwa analipiza kisasi kwa mke wangu

Umeandika uzi kama vile wewe unashangaa na waona ndugu wa mkeo kakosea baada ya kuliwa na wewe lakini si vice versa kwamba huoni wewe umekosea...
 
Sasa ndgu yangu ulimgegeda huyo mwanamama kwa misingi ipi??
Tamaa zako kingono??
Kumsaidia kulipa kisasi??
Mlitamaniana??
Tunda kimasiahara??

Unamshangaa yeye wakati na wewe ni walewale tu. Bora yake ana sababu kua analipa kisasi wewe umetumiwa kama chambo tu.
"Akili zako unazijua mwenyewe"
 
Sasa hapo un
etatua tatizo au umeongeza?jiandae kuaibika
 
Lazima atakuja kumtambishia mke wako kwamba kashaa maliza ugimvi kwa kulipiza kisasi kutembea na wewe.
 
Wanaume ifike mahali msimame katika uanaume wenu na msiyumbishe na sisi. Take the high road.

Yaani kukwambia tu hayupo Sawa na mke wako ukampeleka lodge mkafahamiane na unajisifia kabisa ulimfanya sana.

Sasa hapo mjinga nani? Na ume achieve nini? Badala ya kuwapatanisha upo unachekelea.

Kuna katusi kanakuja kanakataa lkn sikuachii hivi hivi shubaaaamit.
 
Sasa wewe ulitaka aonyeshe dharau kwa kumwambia mkeo kwamba umemvua chupi!? 😳
 
Hata mkeo si anakujeshimu sana, ila anagongwa
 
Tulia wewe wahuni wapeleke moto[emoji95][emoji95]
 
Halafu unaweza kukuta kweli wewe ni mume wa mtu, haki kuna wanawake wana mafurushi[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
 
Mkuu hii kitu kwa uzoefu wangu itakugarimu sanaaa maana lengo lake ni kumkomoa sasa anaetakiwa kukomolewa bado hajakomoleka maana hajui so kifuatacho ITV binti atafanya namna ili mkeo ajue hilo ili lengo lake la kumkomoa litimie kwa hiyo get it in uour mind that the game is far from over
 
Muuza vitenge katika ubora wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…