Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
etatua tatizo au umeongeza?jiandae kuaibikaHabarini wana jamvi. ..
Siku chache zilizopita kuna binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoa wa Mara (kaolewa Dar es salaam)alinitumia friend request,nikawa nimeaccept.Basi ikawa kila nikipost picha anacomment ba mdogo umependeza!Basi siku moja nikamchek inbox akajitambulisha yeye anamuita wife shangazi! Nikaja kumdodosa wife kiaina akakubali kwamba ni ndugu kabisa.
Siku zimeenda hivyo siku moja nikamuuliza lini kututembelea hapa kwetu uje umpe hi shangazi yako?AKAJIBU hawezi kufika hapa nyumbani .Nikamuuliza sasa mimi nitakufamu vp AKAJIBU kama nipo tayari nitafute sehemu nyingine ya kukutania ila hayupo tayari kuja nyumbani maana wife alishawahi kumtenda miaka kadhaa kabla hawajaolewa!
Katika kumdodosa akasema ilitokea wife akatembea na jamaa yake mmoja KITENDO ambacho kilimuumiza sana.Basi kumbe wakati tunachat tayari alikuwa kishapanga ratiba ya kuja kijijini kwao kuhani.Nikaandaa mazingira ya kutoka tukawa tumekutana lodge fulani hivi.Usiku ule nilimfanya sana na wakati natafuta bao la nne mmewe akapiga simu ila akaishia kupigwa fix tu.
Mwisho yule mwanamke akasema isingetokea kutembea na mimi ila kitendo cha wife kuliwa na jamaa yake kilimuumiza sana!Ila sasa kinachonishangaza anapocomnent picha za wife facebook anamuonyesha heshima zote!
Wanawake waacheni tu akili zao wanazijua wao
Lazima atakuja kumtambishia mke wako kwamba kashaa maliza ugimvi kwa kulipiza kisasi kutembea na wewe.Habarini wana jamvi. ..

Mimba.!!!! yalllaaaaaahh!!! 😂😂😂😂Matokea mwisho wa mwezi huu ,,,, get ready
ndio ndio , si amajisifia hapaMimba.!!!! yalllaaaaaahh!!! 😂😂😂😂
Habarini wana jamvi. ..
Siku chache zilizopita kuna binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoa wa Mara (kaolewa Dar es salaam)alinitumia friend request,nikawa nimeaccept.Basi ikawa kila nikipost picha anacomment ba mdogo umependeza!Basi siku moja nikamchek inbox akajitambulisha yeye anamuita wife shangazi! Nikaja kumdodosa wife kiaina akakubali kwamba ni ndugu kabisa.
Siku zimeenda hivyo siku moja nikamuuliza lini kututembelea hapa kwetu uje umpe hi shangazi yako?AKAJIBU hawezi kufika hapa nyumbani .Nikamuuliza sasa mimi nitakufamu vp AKAJIBU kama nipo tayari nitafute sehemu nyingine ya kukutania ila hayupo tayari kuja nyumbani maana wife alishawahi kumtenda miaka kadhaa kabla hawajaolewa!
Katika kumdodosa akasema ilitokea wife akatembea na jamaa yake mmoja KITENDO ambacho kilimuumiza sana.Basi kumbe wakati tunachat tayari alikuwa kishapanga ratiba ya kuja kijijini kwao kuhani.Nikaandaa mazingira ya kutoka tukawa tumekutana lodge fulani hivi.Usiku ule nilimfanya sana na wakati natafuta bao la nne mmewe akapiga simu ila akaishia kupigwa fix tu.
Mwisho yule mwanamke akasema isingetokea kutembea na mimi ila kitendo cha wife kuliwa na jamaa yake kilimuumiza sana!Ila sasa kinachonishangaza anapocomnent picha za wife facebook anamuonyesha heshima zote!
Wanawake waacheni tu akili zao wanazijua wao
Hata mkeo si anakujeshimu sana, ila anagongwaHabarini wana jamvi. ..

we circuit breaker acha umeme uflow...Sasa hapo atafanya mpango ili wife ajue kuwa ulitembea nae, ili kumuumiza. Jiandae mkuu maana umeshakiri kuwa wanawake akili zao wanazijua wenyewe.
Tulia wewe wahuni wapeleke moto[emoji95][emoji95]Wanaume ifike mahali msimame katika uanaume wenu na msiyumbishe na sisi. Take the high road.
Yaani kukwambia tu hayupo Sawa na mke wako ukampeleka lodge mkafahamiane na unajisifia kabisa ulimfanya sana.
Sasa hapo mjinga nani? Na ume achieve nini? Badala ya kuwapatanisha upo unachekelea.
Kuna katusi kanakuja kanakataa lkn sikuachii hivi hivi shubaaaamit.
Na kwa staili hii utawaunguza mtabaki mnalialiaTulia wewe wahuni wapeleke moto[emoji95][emoji95]
Mkuu hii kitu kwa uzoefu wangu itakugarimu sanaaa maana lengo lake ni kumkomoa sasa anaetakiwa kukomolewa bado hajakomoleka maana hajui so kifuatacho ITV binti atafanya namna ili mkeo ajue hilo ili lengo lake la kumkomoa litimie kwa hiyo get it in uour mind that the game is far from overHabarini wana jamvi. ..