Mwezi Mei unakata, yapi yamekupa raha au karaha so far kwa mwaka 2025

Mwezi Mei unakata, yapi yamekupa raha au karaha so far kwa mwaka 2025

Cousin wangu aliyekuja chuoni (USA) akakabidhiwa kwangu nimuandikishe chuo kikuu, ambaye nilimpokea uwanja wa ndege wa JFK, kukaa naye kwangu, na kumpeleka chuoni kumuandikisha, ame graduate na kurudi nyumbani Tanzania.

Hongera kubwa kwake kuhitimu kwa scholarship ya merit.

Kazi nzuri ya ubalozi wa familia nimeikamilisha kwa ngwe hii.

Pia, nimeongeza Mercedes Benz GLE 450 4Matic kuisaidia BMW X5 yangu kupiga misele.
Hongera kuwa mlezi bora kwa Mpwa wako, pamoja na yeye kusimamia kilichompeleka.

Wengi wamepewa hayo majukumu, kutokana na u-busy wa maisha wakajikuta wakishindwa na malezi.
 
Nashukuru kuendelea kuwa mzima wa afya tele, mnajua vile Wazee tunavyosumbuliwa na maradhi ya Uzeeni

Wacha nipunguze sasa Matumizi ya Kiko 😅
 
Nashukuru kuendelea kuwa mzima wa afya tele, mnajua vile Wazee tunavyosumbuliwa na maradhi ya Uzeeni

Wacha nipunguze sasa Matumizi ya Kiko 😅
Sawa babu, punguza matumizi ya tumbaku bado tunakuhitaji uishi maisha marefu zaidi.
 
Nimekosana na ndugu zangu wawili wa karibu...mmoja kaka angu.
Sijui nilikuwa nina stress gan! Aaagh!

niliwaambia maneno ambayo siku nying niliyasikia kwa watu wengine, wao wakininanga ila niliyameza . Last week nimekutana nao na nilikuwa na kimea kichwan na nikawanyea.😎😎😎

min -me , ubaya Ubwela

Fabulah.
 
Back
Top Bottom