Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #41
Duuh pole sana, yamalizeni tu msameheaneNimekosana na ndugu zangu wawili wa karibu...mmoja kaka angu.
Sijui nilikuwa nina stress gan! Aaagh!
niliwaambia maneno ambayo siku nying niliyasikia kwa watu wengine, wao wakininanga ila niliyameza . Last week nimekutana nao na nilikuwa na kimea kinywani na nikawanyea.😎😎😎
min -me , ubaya Ubwela
Fabulah.