Mwezi Mei unakata, yapi yamekupa raha au karaha so far kwa mwaka 2025

Hongera kuwa mlezi bora kwa Mpwa wako, pamoja na yeye kusimamia kilichompeleka.

Wengi wamepewa hayo majukumu, kutokana na u-busy wa maisha wakajikuta wakishindwa na malezi.
 
Nashukuru kuendelea kuwa mzima wa afya tele, mnajua vile Wazee tunavyosumbuliwa na maradhi ya Uzeeni

Wacha nipunguze sasa Matumizi ya Kiko πŸ˜…
 
Nashukuru kuendelea kuwa mzima wa afya tele, mnajua vile Wazee tunavyosumbuliwa na maradhi ya Uzeeni

Wacha nipunguze sasa Matumizi ya Kiko πŸ˜…
Sawa babu, punguza matumizi ya tumbaku bado tunakuhitaji uishi maisha marefu zaidi.
 
Nimekosana na ndugu zangu wawili wa karibu...mmoja kaka angu.
Sijui nilikuwa nina stress gan! Aaagh!

niliwaambia maneno ambayo siku nying niliyasikia kwa watu wengine, wao wakininanga ila niliyameza . Last week nimekutana nao na nilikuwa na kimea kichwan na nikawanyea.😎😎😎

min -me , ubaya Ubwela

Fabulah.
 
Mshangazi ulevi wangu macho na miguu misafi lain na kitako cha kujaa kiganja πŸ˜‹πŸ˜‹

Bas uyo
Muhudum anavyo vyote kanishika shingo wew acha lismame😁
Ila Khanji, kitako cha kujaa wapi? 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…