Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #41
Duuh pole sana, yamalizeni tu msameheaneNimekosana na ndugu zangu wawili wa karibu...mmoja kaka angu.
Sijui nilikuwa nina stress gan! Aaagh!
niliwaambia maneno ambayo siku nying niliyasikia kwa watu wengine, wao wakininanga ila niliyameza . Last week nimekutana nao na nilikuwa na kimea kinywani na nikawanyea.πππ
min -me , ubaya Ubwela
Fabulah.
Basi wewe inawezekana msumbufu ila bibie unamfikisha.Bado sijaelewa kitu ila tu niliona anatabasamu huku anajinyoosha viungo vyake.Na hii si mara ya kwanza ila jina kenge kuitwa lilitawala sana.
Haya mupenziii, nimefurahi tu hukujiita jina langu.Nilijiita 'mtemakuni' ππ
Upo sahihi.Nimeagiza jamaa mchoraji/mwandishi aniandalie tisheti iandikwe kwa herufi kubwa..."JITU-KENGE"...!Basi wewe inawezekana msumbufu ila bibie unamfikisha.
Endelee kujituma Kenge!
Mi wanaokutia wanaume wananikera sana.Haya mupenziii, nimefurahi tu hukujiita jina langu.
Ungechochea moto wa wanaoniita mwanaume.
Sawa JITU-KENGE π π ukiipata utuletee picha!Upo sahihi.Nimeagiza jamaa mchoraji/mwandishi aniandalie tisheti iandikwe kwa herufi kubwa..."JITU-KENGE"...!
ππππMi wanaokutia wanaume wananikera sana.
Nyansh nzuri hivyo na mwanya huo mzuri mwanaume atautoa wapi?
Watu waache uzushi bana.
π₯°π₯°π₯°ππππππ
Umeandika kwa hisia sana kipenzi, nitakua nakuita unitetee.
Shukrani sana πNdugu yangu wa hiari Monetary doctor umeongezeka kwenye idadi ya wadau muhimu. Safii kaka.
Nitajitahidi kupunguza Mjukuu, Asante kunijali Babu yakoSawa babu, punguza matumizi ya tumbaku bado tunakuhitaji uishi maisha marefu zaidi.
ππYa Aina ganii ? Vitabu vya dini vimekusanya Miujiza ya Aina yoote piaNapenda miujiza π€ π, kitabu gani unaweza kurecommend ?