Mwezi mmoja ndani ya uchaguzi tutarajie kuzimwa internet mpaka watakapojitangaza?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna dalili za kwamba nguvu iliyopo kuwa danganya toto zao za uchaguzi ni za haki watafanya kuzima kabisa.

Sababu za kuzima ili kuzimisha mijadala na yote zaidi mtapewa kisingizio mkongo wa taifa umekatika.

Hakutakuwa na internet mpaka watakapomaliza watakalo.
 
Kuna dalili za kwamba nguvu iliyopo kuwa danganya toto zao za uchaguzi ni za haki watafanya kuzima kabisa.

Sababu za kuzima ili kuzimisha mijadala na yote zaidi mtapewa kisingizio mkongo wa taifa umekatika.

Hakuta kuwa na internet mpaka watakapo maliza watakalo.
Vita ya social media gov imezidiwa vibaya mno
This time cdm imeweza kuwafikia watu mpaka vijijini

Wanaweza wasizime lakin waka block social medias
 
Ndio ujue kwamba tanzania sisi ni mazuzu yaani majitu yanajiamlia tu kuzima mtandao halafu yakihojiwa yanasema amani itavurugika
 
Vita ya social media gov imezidiwa vibaya mno
This time cdm imeweza kuwafikia watu mpaka vijijini

Wanaweza wasizime lakin waka block social medias
Sasa hivi X (zamani twitter) naona wiki kama 3 umeminywa kila ukiingia haifungiki labda kwa wale wanaotumia VPN
 
Back
Top Bottom