Vita ya social media gov imezidiwa vibaya mnoKuna dalili za kwamba nguvu iliyopo kuwa danganya toto zao za uchaguzi ni za haki watafanya kuzima kabisa.
Sababu za kuzima ili kuzimisha mijadala na yote zaidi mtapewa kisingizio mkongo wa taifa umekatika.
Hakuta kuwa na internet mpaka watakapo maliza watakalo.
Wako radhi wote tukoseHata mimi naliona hilo.
Swali langu wakizima wao watatumia nini.
Sasa hivi X (zamani twitter) naona wiki kama 3 umeminywa kila ukiingia haifungiki labda kwa wale wanaotumia VPNVita ya social media gov imezidiwa vibaya mno
This time cdm imeweza kuwafikia watu mpaka vijijini
Wanaweza wasizime lakin waka block social medias