Mwezi mzima bila tendo, ndani ya ndoa!!?

Mkabidhi Card ya ATM, utapewa mahaba ambayo hata Adam na Eva hawakuwahi kuyajua?
 
Mwezi mzima bila tendo! Mimi ningeshakufa....................LOL

Nimekupata mkuu!
Hata na mie ningekua kama wewe !
Lakini kama ni hivyo kwa juhudi zetu zote katika kula haya makitu, inakuaje una kabinti kamoja tu? Hapa Jf ?
Au Canta anao nduguze mie labda ndiyo sijawajua ?
 
Hebu muulize mama Ngina anao watoto wangapi...................Achilia mbali wale wa ujanani wakati najifunza haya mambo ya kunaniliu..................LOL
 
Mhhhhhh! Haya bana DC wadada nao watasema nao hawakuumbwa kwa mwanaume mmoja πŸ™‚πŸ™‚....Kula wali mweupe na maharage kila siku inachosha bana LOL! πŸ™‚πŸ™‚...siku nyingine utatamani pilau ya kuku ati! πŸ™‚πŸ™‚

Mhhhhhh!!!...Nafikiri kama ni swala la kubadilisha mapishi waweza tu kununua viungo, na kuamua kupika hicho kingine, si lazima ukale nyumba ya jirani...πŸ™‚
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK

Mhhhhhh! Haya bana DC wadada nao watasema nao hawakuumbwa kwa mwanaume mmoja πŸ™‚πŸ™‚....Kula wali mweupe na maharage kila siku inachosha bana LOL! πŸ™‚πŸ™‚...siku nyingine utatamani pilau ya kuku ati! πŸ™‚πŸ™‚

Hapo kwenye bold, ngumu kuamini kwa kweli! Mhhhh, wako very unique hao!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
kuna mentality kwamba NDOA = NGONO. Hapana. Kuna mambo mengi sana ya kufanya ndani ya ndoa. Suspension za ngono hapa na pale si ajabu. Vinginevyo maisha yangekuwa magumu zaidi.

hivi ktk ndoa inaitwa Ngono?yaani mi na mke wangu tunafanya ngono?angalia kijana unatutukana watu na heshima zetu!
 
Hiyo mbona inawezekana!. Hasa wanandoa wenye majukumu mengi, wanaofanya kazi ngumu na hata wale wanaokuwa kazini kutwa nzima na kujikuta wanarudi nyumbani usiku kila siku. Mazingira ya kazi zao yanaweza kulichunia hilo tendo. Pia wanandoa waliohishi pamoja miaka mingi nao huweza kukutana na hali hiyo kwani huwa wamezoeana sana. Vile vile kitaalam wapo watu wengine ambao huwa na hormone kidodo mwilini zile zinazochochea hamu ya hilo tendo (Progesterone/ Oestrogen) hivyo kuweza kuwafanya kutolifurahia hilo tendo.
 
kupeana likizo ya sex sijui kama nitaweza!labda usiku ikifika anifungie stoo kila siku!
 
Hapo kwenye bold, ngumu kuamini kwa kweli! Mhhhh, wako very unique hao!

Neno hilo Madame KH.....Miezi mitatu huku mnalala kitanda kimoja!!! Dah! haingii akilini hata kidogo....unaweza kubaka mtu akiwa usingizini LOL!

Last edited by a moderator:

Mhhhhhh! Haya bana DC wadada nao watasema nao hawakuumbwa kwa mwanaume mmoja πŸ™‚πŸ™‚....Kula wali mweupe na maharage kila siku inachosha bana LOL! πŸ™‚πŸ™‚...siku nyingine utatamani pilau ya kuku ati! πŸ™‚πŸ™‚

Neno hilo Madame KH.....Miezi mitatu huku mnalala kitanda kimoja!!! Dah! haingii akilini hata kidogo....unaweza kubaka mtu akiwa usingizini LOL!

Umeona ee BAK...mhhhh...mambo mengine magumu kweli kuamini!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
ama kweli babu dc unazeeka vibaya! Hiyo nadharia kuwa mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mke mmoja unaitoa wapi? Kama siyo kuendekeza vijumba vidogo2 na kuongeza tatizo! Adam alipewa mke mmoja Eva, mengine ni usanii tu.

Hebu fuatilia vizuri...hata siku moja sijawahi kuwa mshabikiri wa nyumba ndogo...

Nilichoongelea ni matakwa ya bailojia...Kama hukubaliani na mie basi toa maoni yako tuyasikie!!

Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…