Mwezi mzima bila tendo, ndani ya ndoa!!?

Kwa vile mumeo hajakubaka siyo kwamba haumii...Nyie akina mama mkipata dozi moja nzuri mnakuwa kama chatu...mlo mmoja mnataka uwatoshe kwa wiki nzima au zaidi.

Ndiyo maana katika uzee huu nimekuja kuishawishi akili yangu iliyochoka kuwa mwanamume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja!!

Given a good time na msosi wa nguvu, mwanamume anaweza kupiga daily kwa mwezi mzima!!

Babu DC!!

Mhhhhhh! Haya bana DC wadada nao watasema nao hawakuumbwa kwa mwanaume mmoja 🙂🙂....Kula wali mweupe na maharage kila siku inachosha bana LOL! 🙂🙂...siku nyingine utatamani pilau ya kuku ati! 🙂🙂

Last edited by a moderator:
Umeona eeh. Sex inabidi iwe ni kitu kinatokea naturally si kama obligation.

kuna mentality kwamba NDOA = NGONO. Hapana. Kuna mambo mengi sana ya kufanya ndani ya ndoa. Suspension za ngono hapa na pale si ajabu. Vinginevyo maisha yangekuwa magumu zaidi.
 
Hiyo mipango ya kando ipo na itaendelea kuwepo. Mimi nimesha settle kwenye ndoa yangu hawaniumizi kichwa. Ila nisiwashike. Cha moto watakiona!

Mhhhhhh! Haya bana DC wadada nao watasema nao hawakuumbwa kwa mwanaume mmoja 🙂🙂....Kula wali mweupe na maharage kila siku inachosha bana LOL! 🙂🙂...siku nyingine utatamani pilau ya kuku ati! 🙂🙂

Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
kuna mentality kwamba NDOA = NGONO. Hapana. Kuna mambo mengi sana ya kufanya ndani ya ndoa. Suspension za ngono hapa na pale si ajabu. Vinginevyo maisha yangekuwa magumu zaidi.

Kweli ngono haiwezi kufanywa kila siku kwa sababu vichwa vyetu vina mambo mengine mengi ya kushughulikia. Ila kama hamna kitu kingine cha kufanya, binadamu yeyote atataka kufanya ngono 24/7 ili mradi asifanye na mtu yule yule!

Ila unakubali kwamba hakuna ndoa bila ngono??

Babu DC!!
 
Umeona eeh. Sex inabidi iwe ni kitu kinatokea naturally si kama obligation.

NK,

Kwenye ndoa sex ni zaidi ya obligation, ndiyo maana mwenzio akitaka inakubidi ama umpe au umsaidia apate nafuu...Kuna obligation ndogo hapo??

Babu DC!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Mhhhhhh! Haya bana DC wadada nao watasema nao hawakuumbwa kwa mwanaume mmoja 🙂🙂....Kula wali mweupe na maharage kila siku inachosha bana LOL! 🙂🙂...siku nyingine utatamani pilau ya kuku ati! 🙂🙂

BAK,

Ki ukweli sikumaanisha kufanya ngono nje ya ndoa ila maana yangu ni kuwa, kwa mwanamume biology yake inahitaji wanawake wengi sana iwezekanavyo..Haya mambo ya kuishi na mke mmoja hadi kifo ni utaratibu ambao unawaumiza wanaume zaidi.

Ndiyo maana wataalamu wa mifugo wanasema kuwa ili dume la ng'ombe lisiwe under-utilized linahitaji majike 20-25. Kama lishe inatosha basi hapo linakuwa kama linafanya mazoezi ya kupasha misuli..

Sishabikii cheating kwa hali yoyote ile!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
NK,

Kwenye ndoa sex ni zaidi ya obligation, ndiyo maana mwenzio akitaka inakubidi ama umpe au umsaidia apate nafuu...Kuna obligation ndogo hapo??

Babu DC!!

.....Neno hilo DC sasa utasikia wengine wakihitilafiana ndani ya ndoa zao basi huamua kumnyima mwenzie nonino kwa kudhani anamkomoa!!! Kumbe ndiyo anazidi kuharibu na kulifanya tatizo dogo kuwa kubwa kupita kiasi maana ukiamua kususa wenzio huendelea kula kwa raha zao.

Last edited by a moderator:
BAK,

Ki ukweli sikumaanisha kufanya ngono nje ya ndoa ila maana yangu ni kuwa, kwa mwanamume biology yake inahitaji wanawake wengi sana iwezekanavyo..Haya mambo ya kuishi na mke mmoja hadi kifo ni utaratibu ambao unawaumiza wanaume zaidi.

Ndiyo maana wataalamu wa mifugo wanasema kuwa ili dume la ng'ombe lisiwe under-utilized linahitaji majike 20-25. Kama lishe inatosha basi hapo linakuwa kama linafanya mazoezi ya kupasha misuli..

Sishabikii cheating kwa hali yoyote ile!!

Babu DC!!

Mhhhhhh! Babu DC haya bana!!!! LOL! mie siongezi neno.
 
Kwa nini unaniletea huu wimbo saa hizi tena mkuu....Daaaaaaaaaahhhhhhhhhhhh umenipeleka mbali!!

Unajua nini, hawa dada zetu wa kile, hawajui kwamba kwa mwanamume, sex ni dawa ya kila kitu....Badala ya kuwanyima, wangetafuta njia mbadala za kuwasaidia. Kama wanaona mzigo umekuwa mzito na wamebadili kila bega wakachoka, basi wakubali kuomba msaada kwa kupata mdau mwingine kwenye ndoa yao...Bahati nzuri sheria zetu zinaruhusu ukiachana na mambo ya dini!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhhhhhh! Babu DC haya bana!!!! LOL! mie siongezi neno.

Mkuu, hapa tunaongelea biology, kama kuna mtu anabisha basi itabidi atupe ushahidi wa kisayansi.

Ukiacha cheating, sina hakika kama katika hali ya kawaida mwanamke anaweza kuhandle wanaume zaidi ya mmoja na akawatosha kwenye uringo wa ngono.

I stand to be corrected,

Babu DC!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa mwendo huo tungekuwa waislamu ningemruhusu aoe hata wanne. Lol.
Kuna wanaume wanajali happiness ya wenza wao; wa kwangu pia ni mmoja wao huakikisha nime enjoy hivyo mood yangu ni kitu anacho monitor saana.

Wanaobaka ni wale waso na hutu na wanaweza baka yeyote (hata h/gilr) kwani wanajali kutimiza tamaa zao tu hawafikirii wengine.

BAK,

Ki ukweli sikumaanisha kufanya ngono nje ya ndoa ila maana yangu ni kuwa, kwa mwanamume biology yake inahitaji wanawake wengi sana iwezekanavyo..Haya mambo ya kuishi na mke mmoja hadi kifo ni utaratibu ambao unawaumiza wanaume zaidi.

Ndiyo maana wataalamu wa mifugo wanasema kuwa ili dume la ng'ombe lisiwe under-utilized linahitaji majike 20-25. Kama lishe inatosha basi hapo linakuwa kama linafanya mazoezi ya kupasha misuli..

Sishabikii cheating kwa hali yoyote ile!!

Babu DC!!
 
Kwa mwendo huo tungekuwa waislamu ningemruhusu aoe hata wanne. Lol.
Kuna wanaume wanajali happiness ya wenza wao; wa kwangu pia ni mmoja wao huakikisha nime enjoy hivyo mood yangu ni kitu anacho monitor saana.

Wanaobaka ni wale waso na hutu na wanaweza baka yeyote (hata h/gilr) kwani wanajali kutimiza tamaa zao tu hawafikirii wengine.

Tema mate chini NK, ....na pia nakupa ushauri wa bure kuwa usiusemee moyo wa mwenzio!!

Wewe mshukuru sana Mungu kwamba, walau kwa sasa mambo yako ni mswano.....!!

Babu DC!!
 
Sisemei moyo ila sitaweza stop mtu kuwa na small house kwa kuwa mtumwa wa sex aka kukubali kubakwa.
Nakama umenipata sijasema hubby ni honest ila nimesema anajali feelings zangu.

Kwa mwendo huo tungekuwa waislamu ningemruhusu aoe hata wanne. Lol.
Kuna wanaume wanajali happiness ya wenza wao; wa kwangu pia ni mmoja wao huakikisha nime enjoy hivyo mood yangu ni kitu anacho monitor saana.

Wanaobaka ni wale waso na hutu na wanaweza baka yeyote (hata h/gilr) kwani wanajali kutimiza tamaa zao tu hawafikirii wengine.[/QUOTE]

Tema mate chini NK, ....na pia nakupa ushauri wa bure kuwa usiusemee moyo wa mwenzio!!

Wewe mshukuru sana Mungu kwamba, walau kwa sasa mambo yako ni mswano.....!!

Babu DC!!
 
Kwa vile mumeo hajakubaka siyo kwamba haumii...Nyie akina mama mkipata dozi moja nzuri mnakuwa kama chatu...mlo mmoja mnataka uwatoshe kwa wiki nzima au zaidi.

Ndiyo maana katika uzee huu nimekuja kuishawishi akili yangu iliyochoka kuwa mwanamume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja!!

Given a good time na msosi wa nguvu, mwanamume anaweza kupiga daily kwa mwezi mzima!!

Babu DC!!

ama kweli babu dc unazeeka vibaya! Hiyo nadharia kuwa mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mke mmoja unaitoa wapi? Kama siyo kuendekeza vijumba vidogo2 na kuongeza tatizo! Adam alipewa mke mmoja Eva, mengine ni usanii tu.
 
U nearly gave me a heart attack! U ar the last man standing here, plz watch ur steps.
Dume la ng'ombe linakuwa linacheat pia ujue?

Back
Top Bottom