Ieleweke kwamba kila ndoa ina behaviour tofauti kama zilivyo sura za wanadamu. Siyo watu wote wanaweza kufanya hizi na pia sishauri kabisa kwani kutofanya tendo la ndoa muda mrefu huondoa ukaribu kati ya mume na mke unless mmojawapo awe anaumwa.
Lazima tujue tendo la ndoa sio kazi wala adhabu kiasi cha kuchukua likizo; tendo la ndoa ndio afya ya ndoa. Tendo la ndoa ndio maisha yenyewe ya ndoa na ukiacha kufanya kwa misingi yoyote ambayo sio ya ugonjwa basi ujue unahatarisha ndoa yako. Siamini kama kuna mwanaume aliyezoea hiyo kitu ataweza kaa miezi mitatu bila kukutana na wife . MIMI SIKUBALIANI SEX HOLIDAY kwanza haipo.!!!!!!!!!!!!!!