BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Kwa vile mumeo hajakubaka siyo kwamba haumii...Nyie akina mama mkipata dozi moja nzuri mnakuwa kama chatu...mlo mmoja mnataka uwatoshe kwa wiki nzima au zaidi.
Ndiyo maana katika uzee huu nimekuja kuishawishi akili yangu iliyochoka kuwa mwanamume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja!!
Given a good time na msosi wa nguvu, mwanamume anaweza kupiga daily kwa mwezi mzima!!
Babu DC!!
Mhhhhhh! Haya bana DC wadada nao watasema nao hawakuumbwa kwa mwanaume mmoja 🙂🙂....Kula wali mweupe na maharage kila siku inachosha bana LOL! 🙂🙂...siku nyingine utatamani pilau ya kuku ati! 🙂🙂
Last edited by a moderator: