U nearly gave me a heart attack! U ar the last man standing here, plz watch ur steps.
Dume la ng'ombe linakuwa linacheat pia ujue?
Mwezi mzima bila tendo! Mimi ningeshakufa....................LOL
nitakapojua una mwanamke mwingine
kwa kweli ndo mwisho wangu wa ku do na wewe,
acha huku kwangu kuote kutu mimi sijali.
Mke wangu akishika mimba tu hamu hana na akizaa mpaka miezi 6! Mwanangu hiyo rikizo ndefu isiyo na malipo si mchezo! Juzi kanishtukia tulikuwa katika utani utani hivi mara kaniambia hivi wewe baba J huchakachui nje kweli? Nikajifanya sijalisikia swali?
Katika mzingira natural kama hayo utafanya nini? akina mama naomba mnijibu!
Kwa ufupi unasema kuwa unakaa kwa min of 15months?
Kwa nini basi usiamue kuwa towashi kabisa??
Babu DC!!
Haswaa DC!
Kama sasa hivi sijaona vitu tangu August mwaka jana! Kuna wakati nilianza kuangalia u-porn sana siku hizi nimegrow numb what else can opt may be ka-small house! No I feel guilty, My conscious will haunt me!!
Ieleweke kwamba kila ndoa ina behaviour tofauti kama zilivyo sura za wanadamu. Siyo watu wote wanaweza kufanya hizi na pia sishauri kabisa kwani kutofanya tendo la ndoa muda mrefu huondoa ukaribu kati ya mume na mke unless mmojawapo awe anaumwa.
Lazima tujue tendo la ndoa sio kazi wala adhabu kiasi cha kuchukua likizo; tendo la ndoa ndio afya ya ndoa. Tendo la ndoa ndio maisha yenyewe ya ndoa na ukiacha kufanya kwa misingi yoyote ambayo sio ya ugonjwa basi ujue unahatarisha ndoa yako. Siamini kama kuna mwanaume aliyezoea hiyo kitu ataweza kaa miezi mitatu bila kukutana na wife . MIMI SIKUBALIANI SEX HOLIDAY kwanza haipo.!!!!!!!!!!!!!!