Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Ni kupitia Apps za mikopo mtandaoni.
Nimekuja na strategies maalum sana kwa hizi kausha damu za Online
Mbinu nitakazotumia
1. Nimesajili Simcard Ya Vodacom maalum kwa ajili ya kukopea tu.
2. Nimetumia hio Simcard kuwasiliana na watu maalum ambao hawanifahamu, na nimesev majina yao.. hapo ni kukwepa usumbufu kwa ndugu jamaa na marafiki
3. Nitabadili E-mail Address ya Simu yangu naweka nyingine mpya ili wakati naanza installation ya hizi Apps, nita allow kila access watakayotaka wao ikiwemo contacts, sms na Photos😅😅
4. Kila app nitahakikisha nimepata mkopo usiopungua Tsh 15,000 lengo ni kupata Mikopo kutoka app zisizopungua 30
Immediately baada ya kukopa ni Kufuta apps na kwenda mbele😅😅
kwa sasa naanza na uchunguzi juu ya hizo apps